Huu ni ujinga, na vijana wengi haswa hawa wa bongo fleva hupenda mambo ya kijinga kama haya kwa kudhania kuiga wamarekani weusi ndiyo umefika wakati si hivyo. Kule Marekani mtu mweusi hathaminiwi kihivyo na anadharaulika ile mbaya ila bahati mbaya vijana wetu huku nyumbani wanaona ujiko kuiga ujinga wao bila hata kujua nini faida yake.