Leo tarehe 1/4/2012 ni siku ya wajinga duniani. Inabidi kuchukua tahadhari kubwa sana wakati wa zoezi la kupiga kura kwani kwenye uchanguzi mdogo wa Igunga inaaminika mojawapo ya propaganda iliyotumika na MAGAMBA baada ya kuona maji yamefika shingoni ni kupita na magari na kuwatangazia watu waliokuwa wanaendelea kupiga kura kwamba mgombea wa CDM ametangaza kujitoa kwenye kinyanganyiro hivyo waipigie kura MAGAMBA.TUJIHADHARI NA PROPAGANDA ZA NAMNA HII HASA KATIKA SIKU HII YA LEO YA UPIGAJI KURA NA UTANGAZAJI MATOKEO ARUMERU MASHARIKI.
Muda wa wajinga umeshapita' saa hzi ni muda wa great thinkers,muda wa akina lusinde,nape, nchemba na wale aliosema mkapa siku ýa uzinduzi wa kampeni arumeru mash, unaishia saa nne asubuh

mkuu hivi wangapi wanajua kama mwisho sa 4?by the way watu wanaita "siku" ya wajinga sio "masaa" ya wajinga!cha muhimu demokrasia isiharibiwe na uwepo wa siku hii ya wajinga ambayo waliyoitunga ndio wajinga zaidi