Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,652
Unakuta kijana kula yake ni ya shida, halafu anakimbilia kuoa akitegemea maisha yanaweza kubadilika na kuwa mazuri; hii ni sawa sawa na kubahatisha.
Unakuta kijana anaanza kuchakaa mapema, kutokana na kujibebesha majukumu ambayo bado kuyapangilia.
Nashauri vijana tuoe tukishakuwa na uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku, hakuna mapenzi yasiyohitaji hela; lasivyo utapigiwa mpaka uchanganikiwe.