Jordi alfred
Member
- Oct 24, 2019
- 20
- 5
Kama matit ya mwanamke jinaaa lingne gynecomastiaVinundu gani sasa hatukuelelwi mkuu
yess BiShoo haswaaAaa
Sio Mimi n mdg ang huyoDah! Kumbe wakati mwingine tunajibishana na wadogo zetu wa miaka 16 - 20! Fikiria dogo ndiyo kaota vichuchu vya kifuani!
Anyway, viache vitaisha vyenyewe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
N mdg ang sio mm ndo kanipa hilo tatizo mkuu me sjawai kuwa hvyo ndo namshangaaaBe specific umeota maziwa yaani matiti au vinundu gani unavisemea
Cha msingi ungepiga picha ukaweka hapa tukusaidie unaziba sura tuuh wala usiogope jf ni ya wote
Sent using Jamii Forums mobile app