prs
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 2,642
- 3,376
Salam Wakuu,
Mfumo wa Maisha Tz huwezi utenganisha na Siasa..Siasa ni sehemu ya Maisha kwa Mtanzania..Ila Kutokana na Ukosefu wa Elimu ya Kutuongoza tumekosa Muelekeo na Kuishia kuathirika vibaya na Siasa chafu.
KILIMO,
Wakulima wanaathirika,Mazao yanashuka bei,yanakosa Masoko,Pembejeo bado ni changamoto..Sababu Kuu ikiwa ni Siasa..(Mf:Mbaazi,Korosho..nk)
ELIMU,
Hapa tumekwama toka tulipopata suluhisho la Kisiasa kutoka kwa Wanasiasa "Shule za Kata"..
BIASHARA,
Hapa Benki,Wafanyabiashara,Wawekezaji na Wananchi wote tumeathirika..
Wafanyabiashara-Mitaji inakufa
Wawekezaji-Wanakimbia sababu ya sera mbovu.
Wananchi-Mfumuko wa bei mf: Sukari,Mchele..nk sababu ya siasa..
MICHEZO&BURUDANI,
Timu ya Taifa,Yanga na Simba zote zinaendeshwa kisiasa.
Musicians,Waigizaji..nk Wanatumika na Wanasiasa..
WANAHABARI,
Ukiacha baadhi ya Wachache wanaojitambua kama Pascal Mayalla ,Charles Hillary..nk...Walio wengi wanatumika Kisiasa..
JESHI LA POLISI,
linaendeshwa Kisiasa.
MAHAKAMA
Zinaendeshwa Kisiasa.
..nk
Kwa Tanzania Kuna msemo hivi sasa "Maamuzi Magumu"
Yani kwa Maisha ya Kimaskini ya Mtanzania Maamuzi Magumu ni Kuhama Chama cha Siasa..
Siasa zimefanya Vijana Walio Wengi waamini ndiyo njia pekee ya kutoka Kimaisha..Matokeo tumeua Ubunifu,Vipaji na Uwezo wa Kufikiri.
Tunahitaji Kubadilika.