Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,689
napenda sana kuiona nchi yangu ikiwa na flag bearer huko angani lakini ndio hivi tena!ATCL tunaipenda,tunaiheshimu sana ila madai ndio yapo juu ya uwezo...
napenda sana kuiona nchi yangu ikiwa na flag bearer huko angani lakini ndio hivi tena!
Tunabaki kuleta visingizio kama ilivyo kawaida yetu na kuishia kusema 'hujuma' na mengineyo. Nimemuona Mzee Shirima juzi wakati wakifungua karakana ya ndege za PrecisionAir akimueleza kwa uzuri kabisa JK juu ya serikali kununua shares zao ili wapate nguvu zaidi. Alimpa mfano wa KQ kuwa sio kuwa inamilikiwa moja kwa moja na serikali bali wana shares tu lakini linasaidia kuongeza idadi kubwa ya watalii nchini Kenya.
Binafsi kwa mfumo wa serikali na utawala uliopo TZ kwa sasa sioni njia yoyote ya kuikwamua ATCL huku ikijiendesha bilia kuendeshwa na serikali. Na je, kama rais mwenyewe anakili hadharani kuwa serikali haina uwezo wa kuwaongezea mishahara walimu wanaolipwa Tsh. 200,000/- (sio US $200,000) kwa mwezi itaweza kuliendesha hili shirika!?
Hapo kwenye red...chini ya kapeti tena...WEWE BENI...Hachawafilizike zao banaaaaKatika hali isiyotarajiwa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) lenye ndege aina ya Boeing 735 lililokuwa linafanya safari kati ya Dar-Mwanza via K'njaro na Dar-Hahaya(Comoro) limesitisha safari zake hivi leo Asubuhi. Habari nilizozipata kwa jamaa yangu aliyekuwa asafili na ndege hiyo leo asubuhi ni kuwa abiria wote wa ATCL waliokata ticket kwenda Mwanza "wamefaulishwa" ktk ndege ya 540.Com aina ya CRJ.
Kwa habari ya chini ya kapeti ni kuwa ATCL imeshindwa kulipa malipo ya kukodi kwa kampuni ya AEROVISTA ilipoikodi Ndege hiyo,kampuni husika imeizuia ndege yake kuruka mpaka hapo itakapolipwa malimbikizo ya madeni yote na ATCL. Hii inatokea siku moja baada ya Wizara ya Uchukuzi kuwasilisha Bajeti yake ktk Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa mazingira haya ya ATCL hakuna ulazima hata kidogo wa kuwa na hiyo kitu. Tatizo ni kuwa viongozi wetu wanafanya mambo kwa kutafuta sifa zaidi na si kwa kuangalia faida na uhalisia wajambo lenyeweKwani ni lazima kila nchi iwe na shirika la ndege hata kama uwezo wa kumiliki ndege haina?
mh spika naomba muongozo kama inaruhusiwa kujadilia sakata la atcl wakati bajeti aijapitshwa??naona hili swala haliko mahakamani hivyo linaruhusiwa kujadiliwa
escobarkwani ni lazima kila nchi iwe na shirika la ndege hata kama uwezo wa kumiliki ndege haina? Inakuwaje tunakodisha ndege kwa pesa zote hizo ilihali shirika linaoparate kwa hasara? Just imagine shirika lilipokuwa na ndege 2 lilikuwa na wafanyakazi 500. Ilipobaki moja likapunguza wafanyakazi an kubakia 300. Majuzi tumepata haka kakukodisha, shirika likatangaza ajira mpya! This is typical insane. Serikali iachane na habari ya ndege ilimradi za kuwasafirisha viongozi zipo so far niwatanzania wangapi wanatumia usafiri wa ndege? Nadhani precision, fly 540, na mashirika mengine kama coastal, flylink, auricair yanatosha kusaidia kuwasafirisha watanzania na pesa ya kukodisha ndege ikatumiaka kurejesha na kuboresha reli na treni ya kati ambayo ndiyo inamsaada mkubwa kwa watanzania kuliko hiyo boeing ya kuazima inayotufilisi!