ATCL yarudisha safari za Mtwara

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Bombardier zitakuwa zinatoa huduma ya usafiri Dar-Mtwara.

Uzinduzi wa Safari umefanyika leo kwenye uwanja wa Mtwara.

Serikali inatarajia kukarabati miundo mbinu ya uwanja kwa kiasi cha bilioni 10.

HAPA KAZI TU
 
Hawa wamakonde wameshindwa kuzijaza bus za machinga na majinjah,Je ndege wataweza kuzijaza
 
Back
Top Bottom