ATCL yakanusha kufungua kesi ya ubovu wa injini za Ndege zake aina ya Airbus

Qatif

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
379
859
Mkurungenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Nchini (ATCL) Ladislus Matindi amesema bado hawajafikia hatua ya kuifungulia kesi Kampuni iliyotengeneza injini za ndege zake aina ya Airbus ambazo hazifanyi kazi tangu mwezi Oktoba mwaka Jana.

Matindi amesema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha Morning Express asubuhi hii hapa UFM Radio na kuongeza kuwa wameamua kuungana na kampuni nyingine za ndege barani Afrika kuwasilisha malalamiko yao kutokana na hasara wanazopata.

Pia soma > ATCL yaibana Airbus ndege zake kutokruka, yaifikisha AFRAA

20230313_120254.jpg
 
Mkurungenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Nchini (ATCL) Ladislus Matindi amesema bado hawajafikia hatua ya kuifungulia kesi Kampuni iliyotengeneza injini za ndege zake aina ya Airbus ambazo hazifanyi kazi tangu mwezi Oktoba mwaka Jana.

Matindi amesema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha Morning Express asubuhi hii hapa UFM Radio na kuongeza kuwa wameamua kuungana na kampuni nyingine za ndege barani Afrika kuwasilisha malalamiko yao kutokana na hasara wanazopata.

View attachment 2548613
Duh. huo utetezi unachekesha
 
Mmmmh!! Hapa itakuwa Sir kauza engine zake na kuwepka mitumba maana Mr. Ma hawezi kununua vitu vibovu alikuwa mzalendo kwelikweli.
Alisikika mfuasi mmoja wa mwendazake akisema huku akijipiga kifuani .
 
Back
Top Bottom