Atcl yachanua mawingu tabora -kigoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atcl yachanua mawingu tabora -kigoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 15, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,452
  Likes Received: 5,702
  Trophy Points: 280
  Wanandugu ni furha ya ajabu tuliokuwa tukiisubiria miaka nenda rudi hatmae nikiwa naelekea mwanza asb nkapata mshtko kuona watu wakiwa wengi pembeni ya ndege akaja mfanyakazi mmoja wa ndege :::nilipta mshtuko nilipoambiwa inaenda tabora then kigoma
  hongereni atcl ahsanten kwa kutukumbuka
   
 2. m

  mwanaizaya Senior Member

  #2
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani walio tanzania ya kweli haya
  kama ndio basi hongera zao tukumbukeni na shinyanga
  na isiwe mwanzo tu the tunsimamisha ruti
   
Loading...