ATCL wanafuga matapeli wa mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ATCL wanafuga matapeli wa mjini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Apr 15, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  MC Chitanda ni tapeli?

  --------------------------------------------------------------------------------

  Wandugu naomba kuwasilisha, tabia za baadhi ya ma MC zimekuwa ni mbaya sana hata kusababisha watu na sherehe zao kujikuta kwenye taharuki kubwa.

  Ukweli ni huu:

  MC Chitanda ambaye ni mfanyakazi wa ATC alibukiwa kwa ajili ya sherehe ya harusi ya rafiiki yangu toka November mwaka jana shuguli ambayo ilikuwa ni ya mwezi wa nne tarehe 18 april 2009na alipewa advance amount toka December 2008 cha ajabu baada ya muda akapotea kabisa akitafutwa anazima simu na hakutoa ushirikiano wa kutosha, ilipofika tarehe saba april 2009 akatafutwa ili akonfirm akaconfirm na kuwashukuru wajumbe kwa kumkumbusha, cha ajabu kesho yake akaomba kukutana na wanakamati alipofika akatoa tarifa kuwa anasikitika kuwa kamati haijambuku tarehe hiyo na ila amebukiwa kwa sherehe ya tahe 16 may 2009, tafrani iliotokea hapo hailezeki, ila busara za mwenyekiti ilibidi zimokoe kutoka kipigo cha wanakamati, alipobanwa akakiri kupata kazi nyingine mahali pengine, jamani ndugu wa karibu nae muonyeni huyu bwana asiharibie watu starehe zao na mjihadhari nae pia si mwaminifu na ni tapeli kwani amegoma kurudisha hata hela ya advance aliochukua akisema ameishiwa.

  Jamani msaidieni kwa nia njema.....
   
 2. 911

  911 Platinum Member

  #2
  Apr 15, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  This is too low!
   
 3. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Pdiddy

  Mzee umehishiwa HOJA.

  Hii sio mahala pake. DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUHHHHHHHHHHHHHHHH!!

  FP
   
 4. MyTanzania

  MyTanzania Senior Member

  #4
  Apr 15, 2009
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Moderators please angalieni watu kama hawa,wanaleta hoja ambazo ni za vikao vya harusi wakihusisha na bodies zenye interest za watanzania wote. Huyu bwana sijajua nia yake ilikuwa ni nini,maana kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe. Mfano ATCL inahusika vipi hapo? Hayo ni mambo binafsi huwezi kuyaleta kwenye corporate level.
  P diddy tafadhali,leta hoja acha mambo haya,kama ulitaka ulizungumzie hilo suala ungeandika moja kwa moja katika heading otherwise utakuwa hututendei haki wana JF.
   
Loading...