<br>Kila ninaposoma sakata hili nabaki kushangaa. Watu wanabishania kisichokuwa sababu ya utenguzi wa uteuzi wa Chizi! Nilitegemea mtaalamu wa sheria za kazi na Mahusiano kazini au mtaalamu wa masuala ya Rasilimali Watu angekuja na kutueleza kama alichofanya Mwakyembe (Kumtengua Acting na kumweka acting kwa sababu ya kukiukwa uteuzi wake) amekosea au la. Ninachoshangaa, iwapo kwa Chizi kilichokosewa ni uteuzi wake tu wakati utendaji kazi wake unatukuka kwa nn uteuzi wake usirekebishwe na kumfanya Chizi awepo kihalali ili aendelee 'kudeliver'? Au kuna kitu hatuambiwi? Nasubiri.<br>Chizi was acting thus all. Sasa tatizo liko wapi? Uteuzi wake haukufuata sheria. Wadau tunapwaswa tuangalie sheria iliyokiukwa lakini mengine zaidi ya hayo ni majungu. Maswala ya bank accounts yanatoka wapi? Na vitu ulivyoandika hapo ni majungu matupu. Hizo nauli unazotaja ni promotional fares and as times goes when ATCL has penetrated tu he market they will pick up. Halafu unapoandika jaribu kuwa objective. Unapolinganisha nauli za operators wengine utoe na vigezo vilivyotumika kupanga nauli hizo. Hakuna mtu anakurupuka na kupanga nauli toka usingizini. Na hiyo lease cost unachosema sio kweli maana configuration ya ndege inatofautiana na hicho ndicho kinachoelekeza costs. Unatoka kusema configuration ya ndege ya ATCL ni sawa na PW au unajifnya advocate wa mtu. Kabla hujaleta uzi kama huu ulipashwa uje na facts toka kwa yule aliyekuwapa hiyo information. Sasa wewe umeleta fabrications. Na unaposema kuwa ana MBA in Aviation that's a general vague input. In aviation industry there are many sectors like Avioonics, Planning, services, maintenance, operations, network planning na mengineyo. Sasa unataka kusema MBA ya Chizi iko concentrated to cover all areas hence worthy being unique. What a lie
Wadau,
Nasikitika kwamba badala ya mimi kushangilia maamuzi ya waziri, kwa hili naomba nionyeshe masikitiko yangu makubwa hasa kwa mtu muelewa kama Dr Mwakyembe. Alichokifanya mh huyu ndo yale yale ambayo yalilalamikiwa nab w Lowasa wakati ule, maamuzi ambayo hayatokani na utafiti bali mujungu na kutafuta kuonekana kutenda hata kama unafanya madudu.
Tunabaki tunakurupuka kama kawaida yetu na kuishia kuwaonyesha watanzania kwamba kukosoa kumbe ni rahisi kuliko kuongoza. Tunaishi kwa majungu na utafutaji wa njia za mkato wa kupata umaarufu kwa wananchi.
- ATCL kwa mara ya kwanza mefanikiwa kupata ndege ya kukodi kwa bei chini ya wastani wa bei ya soko (block hour rate below market standard) ambayo kama nakumbuka vema ni USD 1,700 wakati soko liko USD 2,400
- Kwenye mkataba huu ambao wakubwa wanasikitika kupigwa chenga ya mkataba ambayo kwa kawaida ndiyo sehemu ya ulaji wa wakubwa wetu, umeondoa yale mazoea ya kulipa kishika uchumba (down/advance payment) ambayo nayo huwa inachakachuliwa na wakubwa. Badala yake hii ya sasa ni kulipa kutokana na matumizi based on block hour usage
- Market penetration yao ambayo return ticket ya KIA ni tzs 199k (against 340k ya PW) na Mwanza tzs 199k (tzs 420 ya PW) ambayo kwa wale wanaotumiwa na wazito wa PW, wameona ATCL ni threat at least kwa hizo routes mbili.
- Majungu kwamba ATCL management amepokea hela nyingi na kuzifuja during month of May ambapo mpaka waziri na naibu wake walinitembelea hapa J3 asubuhi na kuwapa ukweli bayana (as we are the only banker of ATCL) and yet wamekwenda kufanyia kazi fitna na mujungu
- Paul Chizi ambaye alikuwa sourced from Community Air, being of less than 5 Tanzanians who pocess an MBA in Aviation, leo mnasema vifungu vilikiukwa na ukweli unafahamika mtendaji mkuu wa wizara ni katibu mkuu So, wa kuwajibika ni Eng Chambo ambaye ndiye alikuwepo Aug last year wakati Paul Chizi anapewa nafasi ya kukaimu u-CEO wa ATCL.
- ATCL kulaumiwa kulipa deni la Ultimate Security above $0.9m wakati kesi iliamuliwa na mahakama ya biashara Mar 2011 ambapo uongozi huu haukuwepo madarakani, ATCL hakuwa na pesa na hivyo serikali kupitia barua ya Eng Chambo kucommit kulipa deni ambalo hata hivyo kila wakiandikiwa barua wanapotezea kwa zaidi ya mwaka. Matokeo last week ATCL amepata mpunga wa malipo ya bima ya ndege iliyotembelea tumbo Kigoma, mdeni akawahi mahakamani na kuleta zuio la hela benki (garnishee nisi) na tumezuia pesa ambapo ATCL amerejea mahakamani kuomba kesi itizamwe upya na kukubaliana payment plan, yet wanasemwa kuwa wametumbua pesa.
Natamani kama ningeyasema haya ana kwa ana badala ya kuyaandika. Lakini naona mazingira hayaruhusu. Binafsi nimefuatilia hili sakata toka early last week, nimeketi na watendaji wakuu wa ATCL, Wizara na mpaka juzi waziri na naibu wake. Ajabu sana, narudia tena ajabu sana uvumi kwamba nia ni kumgoa Chizi ili awekwe ndugu wa mh toka nyumbani kwetu Mbeya nilikuwa nayo toka 28 May 2012. Mwisho wa siku ndicho kilichotokea.
Stanbic ndo sole banker wa ATCL, sasa mtu anaposema kuna fedha zimefunjwa wakati ATCL hajawahi kuwa na hela ndani ukiachilia ka-OD kadogo ambako tuliwapa ili waweze kuwa wanalipia mafuta PUMA Energy, maelekezo ya kulipa tumekuwa tunafanya wenyewe hapa ndani, pesa pekee walopata mwezi May ni ya mshahara toka serikalini few millions. Then mtu anasema wamefuja?!?
Unless mtu anambie kuna pesa ATCL alikuwa anapelekewa cash na serikali pale ofisini kwao, kitu ambacho ni non sense.Wadau,
==> Si maneno yangu wana jamvi, bali ni maneno ya mdau wa karibu wa Stanbic<===
kaka pole kwa kujibiwa kwenye red! hakuna anapinga hiyo point yako, je ni halali kukodi hiyo ndege iliyo kwenye schedule of maitanance because it is cheap? have you calculated the maitanance cost ambayo itatucost? je itaingiza how much ikiwa kwenye maintanance ebu acha kushusha level yako of thinking, and other issues can you give us evidence? maana hiyo number moja kama umechemka naona hata hayo mengine ni mchemko huo huo

Asante kwa updates mdau, nadhani mleta mada ametumwa na chizi
Dear Manyi;
Nadhani leo umeamka na ufunuo mpya baada ya kusikia media reports kuhusu ufafanuzi wa Dr. Mwakyembe na ATCL SAGA yako!! sitaki kusema futa kauli zako katika post yako ndefu ya jana, bali tupe rejoinder kama bado unaendelea na lalamo zako kuhusu hatua aliyochukua Waziri Mwakyembe. ushauri wangu: wanafalsafa wanasema "NO research no RIGHT to speak" Ndugu yangu Manyi ulifunguka haraka mno kabla ya kutafakari! Tunasubiri mwendelezo hapa kuhusu saga hiyo, ili ujipambanue kama mwanachi mzalendo au apologist wa ufisadi. je una lipi la kusema kuhusu kwa mfano sare za wafayakazi 15 kununuliwa kwa shilingi milioni 80, au Waziri kadanganya?! Hebu shusha material hapa tukusikie Manyi!!
Watanzania mlivyo wapumbavu nawaona live kuwa umaskinii huu wa nchi yetu sio bahati mbaya kabisa. Ni sababu ya bongolala. Mnadharau credentials za Paul Chizi katika mambo ya aviation?? Nahisi mkija kuanzisha kijikampuni cha computer halafu Bill Gates na Michael S Dell waonyeshe nia ya kuajiriwa mtataka wafanyiwe interview kwanza kufuata sheria ya kuwashindanisha na wengine ili waajiriwe kihalali wakati hao ndio nguli wa hiyo sekta, na kama Dell akitokea kuajiriwa bila kufuata sheria mtamuondoa na kuweka binamu zenu...