Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,263
Dege kubwa la abiria..
Badala lifanye safari za kwenda Ulaya na Uchina kuleta watalii kama tulivyoaminishwa mtu mmoja anaamua kwenda nalo kijijini kwao akawaringishie wanakijiji wenzake...Sisi wengine huwa tunakwenda na vi-Premio vyetu..
Yan watani zangu hawa itokee anunue shati jipya, au baiskeli, au pikipiki au godoro...lazima wanakijiji wenzie wote wamtambue, sembuse aliyenunua dude lile...
Hoja ni kwamba ATCL wacha ife tu...itaepukaje kifo kama mtu 1 anaamua kuharibu utaratibu wa biashara wa shirika kwa yeye kuchukua dege la kubeba abiria 260, akaenda kula nalo bata kijijini kwao? Isitoshe huyu ana ndege zake 3 sijui na alishazigawa kwa shirika kwa kudai hana haja nazo, kumbe alifanya vile baada ya kuona madude haya makubwa yamewasili kumbe ameyatamani dadeki..
Bado na yule mwanae akitoka Misri naye atakuja kufanya kituko kama hiki, maana kila kitu hupenda kumwiga baba yake...naye lazima ataichukua Boeing kwenda nayo Kolomije.
ATCL nyie endeleeni na utaratibu wenu wa kukatisha tiketi, then ahirisheni safari, au ondokeni kabla ya muda mkiwawashia abiria mataa na kuwaacha solemba...
Mzigo mzito mpeni Mnyamwezi aubebe😅