ATCL kwa mapungufu haya hamtadumu

ATCL kwa mapungufu haya hamtadumu

Biashshara za ndege ni lazima zikizi international standards,,,uhakika wa safari na utoaji wa taarifa kwa wakati, customer care, usalama wa safari ni muhimu sana!! Masharika kama air qatal yanasifika duniani siyo kwa sababu ya kuwa ba ndege nyingi bali kwa mambo hayo!
 
Mimi sitaraji jipya kwenye muundo huu wa utendaji na usimamizi. Masuala ya kitaaluma yanafanyika kisiasa na ya kisiasa yanafanywa kwa nguvu ya dola.

Ingia leo kwenye tovuti ya VETA na NIT, utashangaa na kama huna kitambi unaweza timua mbio. Chuo kinachojinasibu kuwa KINAFUNDISHA IT, website yake iko hoi. Lakini humo humo kwenye page ambazo hazijakuwa updated tangu 2009 utaona mtu kaandika wanafundisha WEB DESIGNING.

Hii ndio Tanzania na hao ndio watendaji wetu linapokuja suala la teknolojia ya mawasiliano. Jana nilienda HELSB kusubmit Payment Details za waajiriwa wa kampuni yetu wanaodaiwa. Nimewekwa kwenye benchi 67minutes nasubiri karani anatafuta taarifa za benki kwenye faili lenye kurasa si chini 200 kwa kalamu. Najiuliza, ufanisi uko wapi na yapi ni mazuri ya IT kwa nchi yetu?

Hapo ATCL si ajabu ukakuta vijamaa fulani vimeajiriwa kufanya wajibu huo. Vyenyewe vitakuwa aidha, vibrazamen au tuzee. Kama ni wazee, I reserve my comments na kama ni vijana basi huwa ni SSK (Suti Safi Kibaruani). Mashati saaafi ya dukani kama waimba kwaya, kikamba kimeshuka shingoni na kutokomea mfuko wa shati na kabeji saaaafi IT. Kazi kuvaa suruali za model na viatu vya kuchongoka mbele, website ya kampuni kichefuchefu. Wanapitapita tu makoridoni wakivuta muda ifike lunch time wakale juice na sambusa 2 kama mademu...pambaf!

ha ha ha siku yangu imekua murua sanaa kwenye red...!
 
Wazee wa STK( Suti Tai Kazini)
 
tusiojua ndege
sijakanyaga uwanja wa ndege miaka zaidi ya 9
nilipitaga mwaka 2013 sijui naelekea ukonga mombasa ... nikapaona kwa mbaali!!!

sisi kwetu NGORIKA, MINING NICE WIFI NAE nk
Umaskini mbaya sana
Jipe moyo, ipo siku tu
 
Mimi sitaraji jipya kwenye muundo huu wa utendaji na usimamizi. Masuala ya kitaaluma yanafanyika kisiasa na ya kisiasa yanafanywa kwa nguvu ya dola.

Ingia leo kwenye tovuti ya VETA na NIT, utashangaa na kama huna kitambi unaweza timua mbio. Chuo kinachojinasibu kuwa KINAFUNDISHA IT, website yake iko hoi. Lakini humo humo kwenye page ambazo hazijakuwa updated tangu 2009 utaona mtu kaandika wanafundisha WEB DESIGNING.

Hii ndio Tanzania na hao ndio watendaji wetu linapokuja suala la teknolojia ya mawasiliano. Jana nilienda HELSB kusubmit Payment Details za waajiriwa wa kampuni yetu wanaodaiwa. Nimewekwa kwenye benchi 67minutes nasubiri karani anatafuta taarifa za benki kwenye faili lenye kurasa si chini 200 kwa kalamu. Najiuliza, ufanisi uko wapi na yapi ni mazuri ya IT kwa nchi yetu?

Hapo ATCL si ajabu ukakuta vijamaa fulani vimeajiriwa kufanya wajibu huo. Vyenyewe vitakuwa aidha, vibrazamen au tuzee. Kama ni wazee, I reserve my comments na kama ni vijana basi huwa ni SSK (Suti Safi Kibaruani). Mashati saaafi ya dukani kama waimba kwaya, kikamba kimeshuka shingoni na kutokomea mfuko wa shati na kabeji saaaafi IT. Kazi kuvaa suruali za model na viatu vya kuchongoka mbele, website ya kampuni kichefuchefu. Wanapitapita tu makoridoni wakivuta muda ifike lunch time wakale juice na sambusa 2 kama mademu...pambaf!

hahaa Mkuu umenichekesha sana hasa hapo kwenye red
 
Nimeamua kwa moyo safi kusafiri na ATCL kwa sababu nyingi tu, ambazo sitazitaja sababu ni uamuzi binafsi.

Kilichonisikitisha sana ni kwamba bado mko usingizini, business as usual!
Kwa muda wa wiki 2 sasa nimekuwa nikitembelea ofisi zenu katika moja ya mikoa ya kaskazini ili kununua return ticket ya Dsm, kwa kipindi cha kati ya tarehe 4/2 na 11/2.

Cha ajabu na kusikitisha mara kwa mara nimekuwa nikiambiwa labda uje kesho sababu makao makuu bado hawajaweka kwenye mtandao schedules za tarehe za mbele kuanza tarehe 9/2!

Na hata ukiingia kwenye website yao unashindwa kukata tiketi kwa tarehe hizo bila maelezo yeyote yanayoeleweka!

Wakati mashirika mengine ya ndege wala uhitaji kwenda ofisini, kuna options nyingi za kulipia tiketi.

Lawama hizi naitwisha menejimenti ya shirika, kama mmeshindwa kuwajibika si muachie ngazi!
Unajua bado viongozi wetu hawajagundua tatizo letu watanzania. Punda unaweza kumlazimisha kufika mtoni ila sio kunywa maji
 
Asante sana mkuu kwa taarifa hizi....ngoja link ya uzi huu niweke kwenye uzi wa malalamiko unaotumiwa na JF team yapeleka kwa 'Rais'
 
Back
Top Bottom