Nimeamua kwa moyo safi kusafiri na ATCL kwa sababu nyingi tu, ambazo sitazitaja sababu ni uamuzi binafsi.
Kilichonisikitisha sana ni kwamba bado mko usingizini, business as usual!
Kwa muda wa wiki 2 sasa nimekuwa nikitembelea ofisi zenu katika moja ya mikoa ya kaskazini ili kununua return ticket ya Dsm, kwa kipindi cha kati ya tarehe 4/2 na 11/2.
Cha ajabu na kusikitisha mara kwa mara nimekuwa nikiambiwa labda uje kesho sababu makao makuu bado hawajaweka kwenye mtandao schedules za tarehe za mbele kuanza tarehe 9/2!
Na hata ukiingia kwenye website yao unashindwa kukata tiketi kwa tarehe hizo bila maelezo yeyote yanayoeleweka!
Wakati mashirika mengine ya ndege wala uhitaji kwenda ofisini, kuna options nyingi za kulipia tiketi.
Lawama hizi naitwisha menejimenti ya shirika, kama mmeshindwa kuwajibika si muachie ngazi!
UPDATES
Pamoja na juhudi zangu za kuitumia ATCL kwenda na kurudi, ilishindikana. Ikabidi nikate fastjet kwa kwenda.
Wakati wa kurudi tar 12/2 ndiyo kwa mara ya kwanza nikapanda ATCL. Niliyoyakuta huko ilinisikitisha zaidi!
Abiria hatukufika hata 20, nadhani tulikiwa 14 kwenye ndege inayobeba Abiria zaidi ya 60! Viti vingi vilikuwa vitupu! Kwa kweli roho iliniuma hasa nikikumbuka gharama ya kununua hizo ndege!
Ningekuwa nahusika ningem "fire" Business Director/Manager. Ndege ni nzuri, nauli ni cheap, sh 140,000 one way ukilinganisha na fastjet 220,000! bado inakosa abiria!