ATCL kupasua anga India na China

Binafsi. Naona kuna makosa makubwa sana. Kwanza kabisa. Serikali wabadilishe neno. ATCL. Haraka. Hilo neno. Maana Yake

Pia jaman. Tatizo la shirika. Sio kisiasa. Ni kibiashara na kielimu.
Wakati Atc ina ingia ubia na SA ilikuwa ina training department. Lakin SA wali vunja hiko kitengo. Matokeo yake wafanya kazi walikuwa wana kwenda ttaining south kwa. Kozi. Leo hii. Wale staff waliokuwa wanafanya kozi hizo hawapo tena. KaZin. Wamesha ondoka. Hivo basi wakat. Serikali. Hii. Inafufua shirika. Ilisahau. Au haikupata ishauri kuhsu elimu na ujuzi wa wafanya kazi. Kwa mfano hii leo.
Anayefanya kazi ya commercial director alikuwa cabin crew. Hivi kapata wapi mafunzo ya kuendesha. Department. Kubwa kama hiyo??
Maana kwenye. Mashirika ya ndege. Yamegawwanyika kwenye Sehemu. Nyingi lakin. Kubwa ni. Commercial. Ambayo ina fanya kazi kubwa. Kupanga kuuza. Na. Operation. Ni. Maribani cabins crews. Flaight plan au waongoza ndege. Sasa iweje leo shirika halina wataalam wa kitengo cha biashara tukategemea. Kukuza biashara. Mbona watanzania hatuna. Nidhamu. ??
Mwisho kuna mambo mengi sana hapo.
Haya tuke kwenye maana ya neno ATCL. Linetoka wapi na nn maana yake. Je. Tunastahili kuliwacha litumike. Bado ??
Wakat kabla ubinafsishaji wa shirika lilikuwa ni ATC. Yaan airtanzania corporation. Na kugeuzwa. ATCL. AirtanZania co. Ltd.
 
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, inakamilisha taratibu za kidiplomasia ili kuwezesha Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), kuanza safari za moja kwa moja kwenda India na China.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi, Isack Kamwelwe, wakati wa mahafali ya kwanza ya wahudumu wa ndani ya ndege katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

Amesema taratibu hizo baina ya serikali ya mataifa hayo, zitakamilika karibuni. Alisema kutokana na hatua hiyo, safari hizo zinatarajiwa kuanza mwisho wa mwezi huu au mwanzoni mwa mwezi ujao hasa nchini India.

Waziri huyo pia alieleza kuwepo kwa mikakati mbalimbali ya kuwezesha ndege za ATCL kwenda katika mataifa mbalimbali ikiwemo nchi za Ulaya.

Amesema katika kuhakikisha wanaliboresha zaidi shirika hilo, serikali ilitenga Sh bilioni 900 ambazo zimeelekezwa katika ununuzi wa ndege.

Amesisitiza kuwa kutokana na jitihada hizo, uwepo wa kada hiyo ya watoa huduma wa ndani ya ndege ni muhimu huku akiipongeza NIT kwa kuanzisha kozi hiyo.

"Tunatarajia hadi itakapofika mwishoni mwa mwezi wa tano ndege zetu zitaanza kuruka kwenda nchini China, pamoja na hilo serikali pia imekuwa ikiendelea na ujenzi wa viwanja mbalimbali nchini, lengo ni kuhakikisha tunaliwezesha shirika letu kukua siku hadi siku," alisema Kamwelwe.

Aidha, Kamwelwe alisema NIT ina jukumu kubwa la kuhakikisha kinazalisha wataalamu wa kutosha, watakaotoa msaada katika kuliendeleza shirika hilo na hivyo kukabiliana na uhaba uliopo nchini hivi sasa.
Sasa watambeba nani wakati wafanyabishara wa kariakoo wanafunga fremu? Au Makonda na Gambo?
 
Ndege yenyewe hiyo moja kweli itafanikisha hizo safari za mbali?. Pia hii issue ya Boeing nayo ni majanga watu wanaanza kuziogopa with preferences kwa AirBus
Air France jana ndege yake aina ya AirBus A380 ililazimika kugeuza huko Senegal baada ya ndege kupata itirafu kwenye engine yake moja.

Issue ya Boeing imetokea kwenye 737 Max haifanyi kuwa Dreamliner nayo kuwa na matatizo hayo na kwasasa Dreamliner 787-8 ndiyo ndege bora duniani.
 
Hivi ma-pilot wa Boeing bado wapo? Itanichukua muda kuwaamini ma-pilot wa Tanzania kuendesha ndege usiku kucha safari ya mbali. Kama sio kulala usingizi unaweza kukuta wanajisahaiu wakipiga story za Magufuli au Mwajuma sekritari wa bosi alivyo mkali wa kunengua na nani anamchukua siku hizi!
 
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, inakamilisha taratibu za kidiplomasia ili kuwezesha Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), kuanza safari za moja kwa moja kwenda India na China.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi, Isack Kamwelwe, wakati wa mahafali ya kwanza ya wahudumu wa ndani ya ndege katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

Amesema taratibu hizo baina ya serikali ya mataifa hayo, zitakamilika karibuni. Alisema kutokana na hatua hiyo, safari hizo zinatarajiwa kuanza mwisho wa mwezi huu au mwanzoni mwa mwezi ujao hasa nchini India.

Waziri huyo pia alieleza kuwepo kwa mikakati mbalimbali ya kuwezesha ndege za ATCL kwenda katika mataifa mbalimbali ikiwemo nchi za Ulaya.

Amesema katika kuhakikisha wanaliboresha zaidi shirika hilo, serikali ilitenga Sh bilioni 900 ambazo zimeelekezwa katika ununuzi wa ndege.

Amesisitiza kuwa kutokana na jitihada hizo, uwepo wa kada hiyo ya watoa huduma wa ndani ya ndege ni muhimu huku akiipongeza NIT kwa kuanzisha kozi hiyo.

"Tunatarajia hadi itakapofika mwishoni mwa mwezi wa tano ndege zetu zitaanza kuruka kwenda nchini China, pamoja na hilo serikali pia imekuwa ikiendelea na ujenzi wa viwanja mbalimbali nchini, lengo ni kuhakikisha tunaliwezesha shirika letu kukua siku hadi siku," alisema Kamwelwe.

Aidha, Kamwelwe alisema NIT ina jukumu kubwa la kuhakikisha kinazalisha wataalamu wa kutosha, watakaotoa msaada katika kuliendeleza shirika hilo na hivyo kukabiliana na uhaba uliopo nchini hivi sasa.
Dreamliner ilipowasili walisema itaanza safari za mbali mwezi wa 9, halafu wa 11, halafu wa 2, halafu wa 4, sasa ni mwisho wa 5 inakaribia mwaka ikibeba mbuzi tuu. Kwa nini haikununuliwa dreamliner ya mizigo ambayo ni bei nafuu? Wachina watangoja sana kwenda kwao!.
 
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, inakamilisha taratibu za kidiplomasia ili kuwezesha Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), kuanza safari za moja kwa moja kwenda India na China.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi, Isack Kamwelwe, wakati wa mahafali ya kwanza ya wahudumu wa ndani ya ndege katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

Amesema taratibu hizo baina ya serikali ya mataifa hayo, zitakamilika karibuni. Alisema kutokana na hatua hiyo, safari hizo zinatarajiwa kuanza mwisho wa mwezi huu au mwanzoni mwa mwezi ujao hasa nchini India.

Waziri huyo pia alieleza kuwepo kwa mikakati mbalimbali ya kuwezesha ndege za ATCL kwenda katika mataifa mbalimbali ikiwemo nchi za Ulaya.

Amesema katika kuhakikisha wanaliboresha zaidi shirika hilo, serikali ilitenga Sh bilioni 900 ambazo zimeelekezwa katika ununuzi wa ndege.

Amesisitiza kuwa kutokana na jitihada hizo, uwepo wa kada hiyo ya watoa huduma wa ndani ya ndege ni muhimu huku akiipongeza NIT kwa kuanzisha kozi hiyo.

"Tunatarajia hadi itakapofika mwishoni mwa mwezi wa tano ndege zetu zitaanza kuruka kwenda nchini China, pamoja na hilo serikali pia imekuwa ikiendelea na ujenzi wa viwanja mbalimbali nchini, lengo ni kuhakikisha tunaliwezesha shirika letu kukua siku hadi siku," alisema Kamwelwe.

Aidha, Kamwelwe alisema NIT ina jukumu kubwa la kuhakikisha kinazalisha wataalamu wa kutosha, watakaotoa msaada katika kuliendeleza shirika hilo na hivyo kukabiliana na uhaba uliopo nchini hivi sasa.
Deni la Konoike mmeliona ?
 
Back
Top Bottom