Atcl kuongezewa kitita- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atcl kuongezewa kitita-

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Risk taker, Feb 2, 2009.

 1. R

  Risk taker Member

  #1
  Feb 2, 2009
  Joined: Jan 20, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kampuni ya ndege nchini-ATCL- kuongezewa kiasi cha sh. bilioni 2.6

  2009-01-30 12:34:45
  Na ITV Habari


  Serikali kupitia wizara ya miundo mbinu imepanga kuliongezea kampuni ya ndege nchini-ATCL- kiasi cha shilingi bilioni 2.6 kati ya shilingi bilion 4.5 iliyokwishazitoa na kufanya jumla ya fedha itakazotoa kwa shirika hilo kufikia shilingi bilion 7.1 ambazo zitatumika katika kuliongezea nguvu shirika hilo.

  Waziri wa miundo mbinu Dkt Shukuru Kawambwa amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa makabidhiano ya ripoti ya taarifa ya kikundi kazi kuhusu hatua za kuimarisha kampuni ya ndege Tanzania-ATCL.

  SOURCE: ITV
   
Loading...