ATCL kununua mfumo wa ukataji tiketi

ATCL kununua mfumo wa ukataji tiketi

Air Tanzania iliuliwa kwa kuibiwa.

Ili kuifufuwa na kuwa yenye tija inabidi kila idara itazamwe na ifumwe upya.

Ni hayo hayo kwa mashirika yote ya umma.

Watanzania waliowengi hususan walioajiriwa ni wezi wa kutupwa.

Nnamshauri Magufuli awake sheria za China tu kuhusu wizi na ubadhirifu wa Mali za umma. Watu wawili watatu wakiuliwa wengine watatia akili. Bila hivyo hawa wezi watakuja na mbinu mapya kila siku.

Nampongeza Mbarawa na Magufuli kujitahidi kiaina yao lakini bado zinahitajika sheria kali kabisa.

awake ..

aweke.

swissme
 
Tofauti na au tafauti ni shule zetu, yangu ilinifundisha kufikiri, yako ilikufundisha kupokea hata makosa, kusomea ujinga.

Tamka kwa sauti hicho ulichorekebisha, jibu utalopata utanielewa tu.
Ahsante kwa kuniongezea maarifa dhidi ya ujinga nilioupata kufso.
 
Air Tanzania iliuliwa kwa kuibiwa.

Ili kuifufuwa na kuwa yenye tija inabidi kila idara itazamwe na ifumwe upya.

Ni hayo hayo kwa mashirika yote ya umma.

Watanzania waliowengi hususan walioajiriwa ni wezi wa kutupwa.

Nnamshauri Magufuli awake sheria za China tu kuhusu wizi na ubadhirifu wa Mali za umma. Watu wawili watatu wakiuliwa wengine watatia akili. Bila hivyo hawa wezi watakuja na mbinu mapya kila siku.

Nampongeza Mbarawa na Magufuli kujitahidi kiaina yao lakini bado zinahitajika sheria kali kabisa.
Ni kweli watanzania wezi na hatufanyi kazi kwa bidii pamoja na kuwaibia waajiri wetu ndio maana makampuni makubwa karibu yote ya binafsi yameajiri wahindi kwenye idara za fedha sab licha ya wahindi hao kuchapa kazi sana lkn sio wezi. Tena wahindi imported sio wahindi hawa waliopo nyumbani.
 
Tender zilitangazwa lini? Je kuna wazawa wameshindwa kutengeneza tailored system nzuri kuliko hiyo?
Kwa sasa hatupo kwenye majaribio..tupo kwenye utekelezaji..watu hawajakurupuka
 
Back
Top Bottom