ATCL kunazidi kunoga

ATCL kunazidi kunoga

mamayoyo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,011
Reaction score
1,019
Shirika la ndege la Tanzania, (ATCL) limeanza Safari yake ya kwanza leo kuelekea Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege yake aina ya Airbus Mkurugenzi wa Shirika hilo, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema itakuwa inafanya Safari zake mara nne kwa wiki.
 
Attachments

  • 1561707567154.png
    1561707567154.png
    144.2 KB · Views: 107
Shirika la ndege la Tanzania, (ATCL) limeanza Safari yake ya kwanza leo kuelekea Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege yake aina ya Airbus Mkurugenzi wa Shirika hilo, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema itakuwa inafanya Safari zake mara nne kwa wiki.
Tuache kupanda Kenya airways na Rwanda air ??

Hiyo inatekeleza ilani ya ccm so pandeni ccm
 
Shirika la ndege la Tanzania, (ATCL) limeanza Safari yake ya kwanza leo kuelekea Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege yake aina ya Airbus Mkurugenzi wa Shirika hilo, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema itakuwa inafanya Safari zake mara nne kwa wiki.

Nimeseme wazi kuwa Mimi ni mtanzania na ninaipenda chi yangu ila kwa kinachofanyika kwenye shirika hill ni uswahili uliopitiliza.

Kwanza kabisa ni bei zao ziko juu mno wananchi wa kawaida hawawezi kuaford. pili wanahold booking ili bei zipande ndio wazielease. Unafanya booking lets say ya mbeya wiki nzima unaambiwa no seat unawapigia simu wanakujibu siku hizi tunajaza sana then unakosa option unaamua kutumia njia nyingine ya usafiri, asubui unaingia tena kuangalia unakuta wamerelease booking ticket ni 375,000 unaamua kujikaza hivyo hivyo unachukua ticket

kituko unaenda kwenye ndege unakuta seat empty zaidi ya 30 UPUUZI MTUPU
 
KWA KADIRI YA USHINDANI WA KIBIASHARA INAWEZEKANA HIZO ZIKAWA NI NJAMA ZA KIBIASHARA ILI KULIHUJUMU SHIRIKA LETU, NA SERIKALI KWA UJUMLA. NA KWA MAANTIKI HII NINAPENDA KUUSHAURI UONGOZI WA ATCL KUFUATILIA KWA MAKINI KUONA NI KWANINI HALI HIYO INAJITOKEZA
 
Kuwa na Magufuli ni kitu kingine...

Kuendeleza anachofanya Magufuli ni kitu kingine...
 
Mambo mengi kwenye hili taifa yanakwamishwa na wapinzani(CCM)
 
Nimeseme wazi kuwa Mimi ni mtanzania na ninaipenda chi yangu ila kwa kinachofanyika kwenye shirika hill ni uswahili uliopitiliza.

Kwanza kabisa ni bei zao ziko juu mno wananchi wa kawaida hawawezi kuaford. pili wanahold booking ili bei zipande ndio wazielease. Unafanya booking lets say ya mbeya wiki nzima unaambiwa no seat unawapigia simu wanakujibu siku hizi tunajaza sana then unakosa option unaamua kutumia njia nyingine ya usafiri, asubui unaingia tena kuangalia unakuta wamerelease booking ticket ni 375,000 unaamua kujikaza hivyo hivyo unachukua ticket

kituko unaenda kwenye ndege unakuta seat empty zaidi ya 30 UPUUZI MTUPU

Kuna kipindi nililalama hivi hivi kama ww kuna watu hawakunielewa ila kwa sasa wengi wataelewa, kama huna ufanisi halafu kukawa hakuna mshindani lazima udondoke ila ukiwa na ufanisi utapiga kazi vizuri sana!
 
Hivi kwet ATCL imeshafikisha idadi kubwa ya ndege kama wanavyojitangza kwenye bango hili? Au ni gia ya kutokea tu

1141463
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimeseme wazi kuwa Mimi ni mtanzania na ninaipenda chi yangu ila kwa kinachofanyika kwenye shirika hill ni uswahili uliopitiliza.

Kwanza kabisa ni bei zao ziko juu mno wananchi wa kawaida hawawezi kuaford. pili wanahold booking ili bei zipande ndio wazielease. Unafanya booking lets say ya mbeya wiki nzima unaambiwa no seat unawapigia simu wanakujibu siku hizi tunajaza sana then unakosa option unaamua kutumia njia nyingine ya usafiri, asubui unaingia tena kuangalia unakuta wamerelease booking ticket ni 375,000 unaamua kujikaza hivyo hivyo unachukua ticket

kituko unaenda kwenye ndege unakuta seat empty zaidi ya 30 UPUUZI MTUPU
Inabidi ATCL ijiendeshe kiushindani. Mojawapo ya sababu China imeendelea kiviwanda na kuanza kuwa na mshindani mkubwa na nchi zote za magharbi ni bei za bidhaa zao. Ukinunua friji ya GE iliyotengezwa Ohio unalipia mara tatu ya kunua friji kama hilo hilo lilitengezwa China. Watu wakaamua kununua vya China tu, ambapo china ikawa inapata faida kwa kuuza products nyingi. Inabid ATCL pia ifanye hivyo, itafute faida kwa kuuza ticketi nyingi.
 
Kumbe ndo wanavyofanya! Basis hawana akili
Mi ndo maana nasema sipandi ndege zao
Nimeseme wazi kuwa Mimi ni mtanzania na ninaipenda chi yangu ila kwa kinachofanyika kwenye shirika hill ni uswahili uliopitiliza.

Kwanza kabisa ni bei zao ziko juu mno wananchi wa kawaida hawawezi kuaford. pili wanahold booking ili bei zipande ndio wazielease. Unafanya booking lets say ya mbeya wiki nzima unaambiwa no seat unawapigia simu wanakujibu siku hizi tunajaza sana then unakosa option unaamua kutumia njia nyingine ya usafiri, asubui unaingia tena kuangalia unakuta wamerelease booking ticket ni 375,000 unaamua kujikaza hivyo hivyo unachukua ticket

kituko unaenda kwenye ndege unakuta seat empty zaidi ya 30 UPUUZI MTUPU
 
Sakata LA Jburg vipi ? Nimesikia kuna aibu huko !!! Wamekataliwa kupokelewa pia kufanya conference yeyote uwanjani....wakarudi kimya kimya kwa aibu....waandishi wamepigwa mkwara wasiandike
 
Back
Top Bottom