ATCL kuanza safari kwenda China

ATCL kuanza safari kwenda China

Mihemuko fc yaani angetwambia ni wagogo wangapi wanaijua hiyo sehemu ukimuwacha yeye na ndugaye
"Watanzania wote wanaijua Guangzhou" by prof! Mimi huwa simwelewi prof hivi huwaakiongea mhemko unatoka wapi?

In God we trust
 
Cc:Jinga lao
Cc:Wakudadavua
Wachina hawana lolote, mafisadi tu na wezi hao

China wanatoa rushwa kwenye nchi za Africa ili kupata kandarasi za ujenzi...

China wanamwaga vitu feki huku Tanzania

Tanzania ni shamba la bibi kuuzia vitu feki

Kwa Nini Tanzania inashindwa kuuza Mahindi na Nguruwe China?

China inaagiza Corns (Mahindi) kutoka Marekani (USA)

Unafiki tu na Mazuzu yanashangilia

In God we trust
 
View attachment 1069861

Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Prof Palamagamba Kabudi amesema shirika la ndege nchini ATCL linatarajia kuanza safari za ndege ya moja kwa moja kutoka Dar es Salaam mpaka kwenye jiji la Guangzhou nchini China ili kuchochea biashara na utalii kati ya Tanzania na China.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa ofisi ndogo za ubalozi wa China jijini Dodoma Waziri Kabudi anasema Guangzhou ndio kitovu cha biashara baina ya nchi hizi mbili na safari hizo zinatarajiwa kuana kati ya mwezi June na Septemba ambapo pia mwaka ujao wa fedha Tanzania itafungua ubalozi mdogo kwenye jiji hilo.

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge ya mambo ya nje ulinzi na usalama Mhe Mussa Azan anasema mataifa ya Tanzania na China yana uhusiano wa kihistoria kwa muda mrefu huku balozi wa china nchini Wang ke akisema nchi yake itaendelea kuunga mkono juhudi za Tanzania kwenye mambo mbalimbali ya maendeleo.
Haya mane no yanatakiwa yasemwe na mkurugenzi ATCL , ikifika September safari hazijaanza sijui sikuI Prof Kabudi atasimamia wapi
 
Haya mane no yanatakiwa yasemwe na mkurugenzi ATCL , ikifika September safari hazijaanza sijui sikuI Prof Kabudi atasimamia wapi
Kabugi hanaga aibu kabisa kumbuka lile issu ya mkenya kununua tani laki moja za korosho nayeye alipiga picha wana saini mkataba lkn kumbe ni patupu

In God we trust
 
Safari za India vipi, Zambia na Zimbabwe tunaomba marejesho..

Japo nasikia muda sio mrefu ATCL itahamishiwa Ikulu, hakuna CAG kugusa tena.
Kwa hiyo Ikulu Sasa unafanya biashara. Anikodishie mimi Mchagga miaka 5 tu mnapata faida na ndege zenu. Nawapa. Ila sawa
 
Zunguzia safari za ndege acha kuhamisha magoli
[/QUOTE

Uwezo wako kuconnect safari za ndege na biashara ni mdogo

Enhe ndege inaenda kuleta samaki mbovu za Kichina?

Safari za ndege, kubeba abiria--hao abiria wanaenda kufanya nini? sio biashara na utalii ...
 
Back
Top Bottom