Sijakuelewa, unasema atcl hawana connection nzuri halafu unasema kwa upumbavu hawaioni waitumie, hiyo ambayo hawana lakini unataka waitumie ni ipi?Heshima sana wanajamvi,
Last week nilikuwa UAE π¦πͺ Dubai, nilitumia usafiri wa ATCL kwa mara ya kwanza.
Mambo matano ya hovyo niliyashuhudia.
Mosi Wahudumu ni wazee na wana miili mikubwa kama Mama Ntilie.
Pili ATCL hawana connection nzuri ambayo ipo lakini kwa ujinga, ushamba, upumbavu hawaioni au hawataki kuitumia. Mfano ni kwanini ATCL wanawalenga abiria wa Dar wakati wangeweza kutengeza connection nzuri na kubwa ya abiria wa Zanzibar, Mwanza, Kilimanjaro & Mbeya au Dodoma.
Tatu ATCL hawana vinywaji standard mfano wine π· ya image haina viwango ukiinywa utafikiri unakunywa dawa ya kuharisha.
Nne matangazo yao kupanda ndege Dubai Airport ni kingereza, kifaransa, kireno hakuna kiswahili. Wenzetu Ethiopia wanatangaza lugha yao sisi tunazubaa zubaa.
Tano bei tiketi nje ya Dar ni ghali sana kupita kiasi ATCL mkiendeleza huu ujinga unaofanyika katika ofisi zenu mnaenda kuanguka mapema.
Ngongo kwasasa Katavi.
Hiyo namba 1.......mhuuuHeshima sana wanajamvi,

Huyu jamaa na ujanja wake wote kaenda kuombewa kwa huyo muombeaji πMasha ameombewa na kiboko ya wachawi, tuvute subira labda fastjest inaweza kurudi.
Hapo kwenye wahudumu wazee, Yani wanashindwa hata na kampuni ya mabasi ya Tilisho,Heshima sana wanajamvi,
Last week nilikuwa UAE π¦πͺ Dubai, nilitumia usafiri wa ATCL kwa mara ya kwanza.
Mambo matano ya hovyo niliyashuhudia.
Mosi Wahudumu ni wazee na wana miili mikubwa kama Mama Ntilie.
Pili ATCL hawana connection nzuri ambayo ipo lakini kwa ujinga, ushamba, upumbavu hawaioni au hawataki kuitumia. Mfano ni kwanini ATCL wanawalenga abiria wa Dar wakati wangeweza kutengeza connection nzuri na kubwa ya abiria wa Zanzibar, Mwanza, Kilimanjaro & Mbeya au Dodoma.
Tatu ATCL hawana vinywaji standard mfano wine π· ya image haina viwango ukiinywa utafikiri unakunywa dawa ya kuharisha.
Nne matangazo yao kupanda ndege Dubai Airport ni kingereza, kifaransa, kireno hakuna kiswahili. Wenzetu Ethiopia wanatangaza lugha yao sisi tunazubaa zubaa.
Tano bei tiketi nje ya Dar ni ghali sana kupita kiasi ATCL mkiendeleza huu ujinga unaofanyika katika ofisi zenu mnaenda kuanguka mapema.
Ngongo kwasasa Katavi.
Ben, upo sahihi kabisa. Hili shirika litakufa tena sio muda mrefu litabaki kuendeshwa kwa ruzuku na kodi za wananchi, same kama mwendokasi ulivyokufa hautoi hudumu bali unatoa kero tu.ATCL wanataka kuiua waanze tena kununua ndege upya wapige pesa
Laki 6 mwanza na Dom doohHii ni Dom to Mwanza ATCL bei inafika 1milion
Precision air wanakopa wananunua ndege used wanatoboa lakini ATCL inapewa ruzuku + ndege mpya inajiendesha kwa hasara, hapa kuna uhujumu uchumi na dili za wakubwaBen, upo sahihi kabisa. Hili shirika litakufa tena sio muda mrefu litabaki kuendeshwa kwa ruzuku na kodi za wananchi, same kama mwendokasi ulivyokufa hautoi hudumu bali unatoa kero tu.
Next: SGR