Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,552
- 30,788
Boeing ni muundo tu.tatizo engine!Mkuu Tanzania haina Boeing 737 so hili tangazo halituhusu
Mkuu hapo wamespecify Boeing 737 NG aircrafts au unataka tukuamini wewe badala ya Boeing wenyewe?Boeing ni muundo tu.tatizo engine!
Na vile vile mazingira ya hali ya hewa hayachagui ni engine ipi unatumia kwenye ndege.
Tahadhari(risk) ipo pale pale.
Wameambiwa specifically ni ndege gani. Hizo ndege sisi hatuna.Boeing ni muundo tu.tatizo engine!
Na vile vile mazingira ya hali ya hewa hayachagui ni engine ipi unatumia kwenye ndege.
Tahadhari(risk) ipo pale pale.
Pengine nikupe mfano rahisi unaweza kuelewa.Mkuu hapo wamespecify Boeing 737 NG aircrafts au unataka tukuamini wewe badala ya Boeing wenyewe?
Ulikuwa na point lakini kwa mfano huo wa boti za azam hakika mkipelekwa mirembe jamaa lazima atatoka mapema kuliko wewe.Pengine nikupe mfano rahisi unaweza kuelewa.
Ukiambiwa boti za Azam zisiende Zanzibar maana kuna mawimbi yenye takataka majani ya bharini, nawe kwa vile tangazo lilikuwa linamhusu Azam wewe una boti za Hamduni Marine ukaenda kwa vile tangazo halikuhusu.
Basi wafaa kujitafutia kitanda Mirembe!
Ndege zinakuwa na injini tofauti unawezakuta ni Gulfstream ina injini za Rolls-Royce, Embrael ina injini za Safran, Airbus ina injini za P&W. Huo utofauti wa injini unachangia kuwa na tofauti ya specifications na maintenance.Pengine nikupe mfano rahisi unaweza kuelewa.
Ukiambiwa boti za Azam zisiende Zanzibar maana kuna mawimbi yenye takataka majani ya bharini, nawe kwa vile tangazo lilikuwa linamhusu Azam wewe una boti za Hamduni Marine ukaenda kwa vile tangazo halikuhusu.
Basi wafaa kujitafutia kitanda Mirembe!
Umepishana nayo hewani?Moja nimepishana nayo hapa inatoa moshi mwingi sijui tatizo nini
Kweli kabisa lakini principle ya jet engine ni thrust.Ndege zinakuwa na injini tofauti unawezakuta ni Gulfstream ina injini za Rolls-Royce, Embrael ina injini za Safran, Airbus ina injini za P&W. Huo utofauti wa injini unachangia kuwa na tofauti ya specifications na maintenance.
Kenya wana aina nyingi za Boeing, kama tangazo lingehusu ndege zote wangeelezwa hivyo. Muhimu wameeleza specifically ndege zipi. Sisi aina hizo hatuna.
Mafuta ya ndege yanaganda? How comes mafuta mepesi kabisa yagande. Ninachokisema hapa ni kuwa maintenance inafanyika kulingana na technical specifications za ndege husika.Kweli kabisa lakini principle ya jet engine ni thrust.
Na thrust ile lazima ichangine na fine mists za kutoka nozzles za mafuta na compressed air.
Hapo nafikiri unanipata.
Kama unaonglea nozzles, na hizo nozzles zika clog mafuta yaliyoganda ya mezi mitano iliyopita , whatever the engine, utakuwa unalea matatizo usposikiliza ushauri.
Blaza unakichwa kigumu mnoPengine nikupe mfano rahisi unaweza kuelewa.
Ukiambiwa boti za Azam zisiende Zanzibar maana kuna mawimbi yenye takataka majani ya bharini, nawe kwa vile tangazo lilikuwa linamhusu Azam wewe una boti za Hamduni Marine ukaenda kwa vile tangazo halikuhusu.
Basi wafaa kujitafutia kitanda Mirembe!
Mkuu jitahidi kujielimisha.Mafuta ya ndege yanaganda? How comes mafuta mepesi kabisa yagande. Ninachokisema hapa ni kuwa maintenance inafanyika kulingana na technical specifications za ndege husika.
Hata ndege za jeshi zinakaa miezi na miezi bila kupaa, hizo Air Force One unakuta zinaruka twice per year kwahiyo kulingana na ndege zilivyotengenezwa ndivyo utatakiwa kufanya service. Si kwa kuzifananisha zote kisa eti ni jet powered.
Mbona lifespan, operating range, fuel consumption ya engine zinatofautiana.
Jamaa ana ungo wake.Umepishana nayo hewani?
Umepishana nayo angani?[emoji16]Moja nimepishana nayo hapa inatoa moshi mwingi sijui tatizo nini