ATC First years

ATC First years

Kama ni first year aandike jina lake juu na index number Payment account ni hizo na akimaliza afanye online registration bado dirisha liko wazi very soon watafunga, Yuko selected course gani?
ELE &TELECOM
 
Mi nimechaguliwa apo civil lkn naona kaumr kameenda nipo around 30yr,cjui Niko sahh
 
Watu wanakeitisha mapema sapu zimewaamusha, kila mtu anakufa SMS yake..... Njoo ule MBOSOLI na vumbi la uwanja!! Over!! AUTOMECH ndo mkuu wa chuo hapana mwingine!!
 
Back
Top Bottom