kuna mtu alipata mimba akiwa shule akaogopa sana kuwaambia wazazi wake,kwahy akaamua kwenda hosp moja kutoa kule alipewa vidonge vya kutoa ile mimba.ila kwa bahati nzuri ile mimba aikutoka ikabidi tu akae nayo... ile mimba ilikuwa na mwishowe kujifungua.
sasa huyo mtoto aliyezaliwa hatakuwa na hasira na mama yake kwa jambo alilojaribu kufanya bila mafanikio?
kuna connection kati ya mtoto na mama ambapo mtoto anaweza kubeba baadhi tabia kutoka kwa mama kutokana na yaliyotokea wakati yuko tumboni, mfano mama akiwa ni mtu wa kununa nuna, au alitaka ku commit suicide, si ajabu mtoto akabeba baadhi ya hayo.