Ataruhusiwa kusoma digrii na D mbili form four?

Ataruhusiwa kusoma digrii na D mbili form four?

Joined
Jul 8, 2015
Posts
88
Reaction score
38
Ninaomba kuuliza kuhusu hili...kuna rafiki yangu alipata D mbili form 4 kati ya masomo saba yaani English na Kiswahili.

Sasa alianza chuo cha utumishi akaaza certificate na sasa anaaza dip swali Athari yake nini kwa cheti alichonacho na je degree hatasoma kwa D hizo mbili za form4..?
 
Ninaomba kuuliza kuhusu hili...kuna rafiki yangu alipata D mbili form4 kati ya masomo saba yaani English na kiswahili Sasa aliza chuo cha utumishi akaaza certificate na sasa anaaza dip swali Athari yake nini kwa cheti alicho nacho na je degree hatasoma kwa D hizo mbili za form4..?
University bila 4D's ngumu saaana
Kwa utaratibu wa sasa…. Labda afanye kazi then afanye RPL

Mtanganyika
 
OK...inamaana hakiwa kazini degree hataipata.
Ni ndoto iliyo isiyotimia.

SABABU KUU KWA VIGEZO SASA.
ili usome certificate
lazima uwe na atleast 4D's except masomo ya dini (bible knowledge na Islamic)

Ili usome diploma
Lazima uwe na atlest ONE principle (E,D,C,B,A) and "S"
AU
4D's za form four and certificate ya wastani wa C au 2.7 GPA

ILI. KUSOMA DEGREE
lazima uwe na atleast 2 principle zenye uzito wa 4.0 (D+D)
AU
awe na DIPLOMA yenye ufaulu wa B au 3.0 pamoja (form four 4D's na certificate) au diploma + 1 principle na "S"


Mtanganyika
 
Back
Top Bottom