Hapo atapata maake amejaza degree za hovyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu zangu Msaaada kidogo nina rafiki yangu naye kapigwa Chini first round. Na ivyo apo juu ndo alivyojaza saivi mnaonaje wadau yupo kweny risk ya kukosa tena
Kama kakosea sehemu tuelekezane asije kosa round 2 tena
Ana division 2.12
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hapo atapata maake amejaza degree za hovyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona amejaza vyuo vinne tu..?
Ndugu zangu Msaaada kidogo nina rafiki yangu naye kapigwa Chini first round. Na ivyo apo juu ndo alivyojaza saivi mnaonaje wadau yupo kweny risk ya kukosa tena
Kama kakosea sehemu tuelekezane asije kosa round 2 tena
Ana division 2.12
Nimepata mkuuchachasteven,umepata chuo?
huwez kuswitch,,,jidanganye sasa..ukienda chuo hakuna kubadiliDegree za ovyo vepeee sindoma kukawa na registration chuo ukifika una switch watu saiv wanajaza kozi za ajabu wapate chuo tu
Mkuu kaka yangu kabadili udsm mwaka jana kwani ww unaongelea nini.huwez kuswitch,,,jidanganye sasa..ukienda chuo hakuna kubadili
alibadili course kutoka course ipi kwenda course ipi????Mkuu kaka yangu kabadili udsm mwaka jana kwani ww unaongelea nini.
Computer science to tellecommunication engineeringalibadili course kutoka course ipi kwenda course ipi????
kulikuwa na double coincidence yaan mpaka apatikane mtu kutoka telecommunication kwenda computer science ili exchange ifanyike,,,la sivyo asingepata opportunity ya kubadiliComputer science to tellecommunication engineering
Sawa mkuu nimekuelewa ila kumbe transfer is possible kutokana na bahati yakokulikuwa na double coincidence yaan mpaka apatikane mtu kutoka telecommunication kwenda computer science ili exchange ifanyike,,,la sivyo asingepata opportunity ya kubadili
Very luck.......kuna jamaa alikuwa na one ya point 6 PCM alijimix akachagua bach of education in mathematics wakamgomea kuchenjiSawa mkuu nimekuelewa ila kumbe transfer is possible kutokana na bahati yako
Hawa TCU wanatesa WATOTO wa watu..!Akitaka kujaza cha tano kinagoma sijui ata Kwanini