kama punga hivi.........
ananyoa nyusii kwa uziii!!
ananyoa nyusii kwa uziii!!
naona..huoni ka ameshika uzi na mikono miwili?isitoshe wahindi mahodari sana kwenye shughuli hio!mmmh!! umejuaje?
ni uzi kama anauvuta back and forth juu ya nywele anazotaka kuondoa...inaumaaa.uzi unaweza ukukate ni mkali sana!!!!lkn unasafisha vizuri unakuwa msafiii!iasee ananyoaje sasa
ha ha ha hizo mbio za hapo hapo ndani back and forth akivaa heels hajipendi!!!Akitoka hapo anaenda mazoezi lol..
naona..huoni ka ameshika uzi na mikono miwili?isitoshe wahindi mahodari sana kwenye shughuli hio!
ananyoa nyusii kwa uziii!!
He he he usijali bana mambo ya kike hayo ndo maana nimejua!!!Miye sioni mpenzi, huku kwangu hiyo picha kwanza naona kama ipo blurred kiasi.