Atakayeingia msituni huyu hapa!

Atakayeingia msituni huyu hapa!

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
Leo nipo kwenye misa ya kumsimika askofu Mkuu wa songea Damian Dallu. Kati ya wageni ni kapteni komba. Kwa unene ule siamini kwa uzembe huu naye ataingia msituni.
 

Attachments

  • 1400411655785.jpg
    1400411655785.jpg
    42.5 KB · Views: 704
ati nilisikia nini kuhusu kale ka binti ka mauaji ya msanii maarufu wa bongo move aaaaaah wajameni jimwili lote hilo ukikakandamiza si utapata mada kesi!!!!!
 
Ooyooo huyo si komba huyo ni pipa la rasimali za tanganyika na kabla ya kuingea msituni kwanza aende boko haramu akachukuwe mazoezi maana msituni na taarabu au cha kacha ni vitu tafauti sana
 
Atakuwa kama tembo anayejificha kwenye boga. Presha inapanda presha inashuka.
 
Back
Top Bottom