Atakayefanya mwenzake ndo mshindi

Atakayefanya mwenzake ndo mshindi

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
comment neno/sentensi ya kuchekesha ili mwenzio acheke
comment itakayochekesha watu wengi zaidi ndo imeshinda.

NB: ukiona comment imekuchekesha unai quote kama hivi mfano;
youngsharo said:
imagine magufuli angekuwa mcheza boxing!
hahahaaaa duh umetisha young sharo

HAYA TWENDE KAZI
 
unaenda safari alaf umesahau kuchukua nauli.
 
baba mtu; we mbona husomi na mtihani ni kesho?
Dogo; majibu ya maswali yote mi ninayo.
Baba mtu; majibu yote unayo? Mpaka hisabati?
Dogo; ndio
Baba mtu; maswali yake umeyaona wapi mpaka uwe na majibu yake?
Dogo; wakati tupo kwenye kipindi cha dini tumeambiwa Yesu ndo jibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom