Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Dalili ya mvua ni mawingu!Gosh i thought he is dead!!!, thanks to God for keeping him alive may he continue to bless him with good health.
Dalili ya mvua ni mawingu!
Katika picha hii, mke wa Mzee Mandela, Graca anakagua eneo litakapochimbwa kaburi. Inaonekana mapaparazi wameshatinga na vifaa vyao kufuatilia kila sekunde na dakika. Tumuombee Mandela nguvu na maisha zaidi.
View attachment 31157
Mamzalendo samahani sana. Sio nia yangu kukushtua. Ninawasilisha habari kama ilivyoripotiwa, na inaonekana ina ukweli ndani yake.jamani mbona upo straight hivyo hujui mwenzio nampenda sana Mandela naweza kuzimia!! au tayari hayupo tena kwa nini mke akakague na mume wake kama yupo hai au hali yake inaashiria any time soon hatakuwepo?. na hii ni mbaya huyu babu akisikia atajisikiaje au ndio mambo ya kizungu?
Gosh i thought he is dead!!!, thanks to God for keeping him alive may he continue to bless him with good health.
Assume Jesus comes today and Mandela is incarnated. It will be shame on those pretend to forecast his death.Ubinadamu Kazi
Assume Jesus comes today and Mandela is incarnated. It will be a shame on those pretending to forecast his death.Assume Jesus comes today and Mandela is incarnated. It will be shame on those pretend to forecast his death.
LONG LIVE MADIBA, ICON OF THE WORLD
Duh hii kali yaani mmnataka mzee wa watu aondoke mapema !