MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Yaani ulitongozwa kwa vitendo!Kusoma huwezi hata picha nayo huoni????
No! smallvile hii siyo ya kutunga ni kweli ipo, na wanaume wengi wanafanya hasa kwenye madaladala.Hata mm ilinitokea nilipanda daladala la mwananyamala kuna babu mmoja mchaga anavaa kofia na miwani meusi, na wakati wote kalewa, na anapenda sana kupandia pale kinondoni kwa manyanya, akapanda ndani ya basi akaja kusimama nyuma yangu, nilipomuuliza kwa nn anasimama nyuma yangu na basi halijajaa hakunijibu kitu akasogea pembeni na kujifanya kama kalewa sana.
nimekuelewa dada angu, nawaelewa wote, mimi niko inquisitive sana kujua,
kwa maelezo yako utaona unajichanganya, mlevi - anajifanya kalewa, oukey na alisimama tu nyuma yako sijua how intimate was it, ila alisimama nyuma yako,,hafu huyu mtu tuasume ni mlevi, sasa jama mtu mlevi kwa ufupi hawezi kuwa representative wa wanaume kama umesoma kidogo utaelewa haya, hiyo ni case senarior incidental wapo wanaume wangapi walevi ulowahikuta wana hilo jambo ulilohisi,, maana coz hujasema point ya msingi, kwamba labda alidindisha nyuma yako au niaje sijaelewa! hivo basi naomba pia nikupe senario ambayo nilikutana nayo kwa gari,,,
dada/mama moja ako range ya 28-30 nilipanda nae kwa dala sasa tulikua tit mbaya si najua tena safiri zetu, basi mwanamke wa watu gafla tu kapiga kelele na matusi we mwanaume unanifanya nini gafla tulokua karibu tukatanabahi,, binafsi nilkua karibu nao ila nilipata sit, mwanamke alilalama ati mwanaumea alikua anamwingiza nyuma, sasa at the instant tu alipiga kelele tulokua karibu tuliwaangalia wote, basi tukauliza sasa wewe huyu mwanaume alikua anakuingiza hata hajadindisha ilikuaje, maana kila mtu aliangalia hata dereva kusimamisha gari,, basi mwisho ikagundulika ni hisia tu za mwanamke yule kijana wa watu wala alikua hajadinda,, tulimwonea huruma, naomba niwatahadharishe,kwa mtu mwenye akili, mambo yanahitaji ushahidi,, sio hisia yawezekana yule mwanamke ni mtu wa ku 0713 na hisia zake, hili huwa linawatokea kwa mujibu wa psychologia,, peruzi kwa internet upate ufahamu, yani inaweza kuwa Post Traumatic Disorder au mambo ingine,,,, tafadhali ebu pata picha kama huyu kijana wa watu angelikua na mke wake au mwanae, hizo tuhuma zingeathiri vipi maisha yake ukizingatia ni za uongo? sipati picha kama angekua mumeo au mwanaume wako umpendae afu akasingiziwa hafu mlivo wa ajabu ata hampendi kusikiliza mpate ufafanuzi ,,,
namalizia kwa kusema, ndiyo yaweza ikatokea, nina ushahidi positive ila si katika mazingira mnayotaka kuyajena mwanaume kumtamani mwanamke kimazingira,, kuna vichocheo, labda pombe madawa ya kulevya, upungufu wa akili, over attraction japo kama ni mtu mstaarabu anaweza akaomba kushuka kama uzalendo unamshinda,,
nawapenda dada zangu maana ninae dada,, siwapendi wadada wanaosingizia mambo yasio na ukweli maana hata dada zangu hawafanyi hivo
stay blessed
Hakuna si lazima niandike kila kitu, kuwa alidindisha, unajua sipendi kuandika hayo mambo kwa sababu ninahisia kali, huwa nahisi kama najidhalilisha. kama mm muongo na sina prove yoyote , panda gari hilo la mwananyamala / steshen halafu ongelea hilo neno utaona watu wa humo kwenye gari watakavyokusimulia ambayo huyo babu anayafanya.
Habari za mchana.
Hivi mvua za dar sasa zaleta mambo jamani mtoto wa watu natoka posta naenda home nimepanda daladala la ubungo halijajaza sana mie nimekaa kwenye siti ya pembeni karibu na pale wanaposimama watu.
Nipo busy na simu maana ndo kiingiza mood na kitoa mood changu.
Kuja kushtuka naona kitu kigumu kinanichoma mkononi na jotojoto khaa kuangalia pembeni kijana kasimama yaani kajisogeza mpaka kahakikisha dushelele limenishika mkononi jamani nlichofanya nikajikunyata mkono na mimi mwenyewe ili asipate nafasi jamani mhh basi likitembea likikata kona ananisogelea kabisa mpaka ahakikishe ananigusa.
Fire watu wanashuka nafasi ipo mbele hataki kwenda kukaa wala kusogea pembeni.
Nilichokifanya nikahama siti nikahamia mbele maana ningemuacha angemaliza haja zake pale.
Nyie watu mjirekebishe!!!!