amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Habari za mchana.
Hivi mvua za dar sasa zaleta mambo jamani mtoto wa watu natoka posta naenda home nimepanda daladala la ubungo halijajaza sana mie nimekaa kwenye siti ya pembeni karibu na pale wanaposimama watu.
Nipo busy na simu maana ndo kiingiza mood na kitoa mood changu.
Kuja kushtuka naona kitu kigumu kinanichoma mkononi na jotojoto khaa kuangalia pembeni kijana kasimama yaani kajisogeza mpaka kahakikisha dushelele limenishika mkononi jamani nlichofanya nikajikunyata mkono na mimi mwenyewe ili asipate nafasi jamani mhh basi likitembea likikata kona ananisogelea kabisa mpaka ahakikishe ananigusa.
Fire watu wanashuka nafasi ipo mbele hataki kwenda kukaa wala kusogea pembeni.
Nilichokifanya nikahama siti nikahamia mbele maana ningemuacha angemaliza haja zake pale.
Nyie watu mjirekebishe!!!!