1. Mapenzi au
2. Mgonjwa wa Akili.
SIO ugumu wa Maisha.
1. Mapenzi au
2. Mgonjwa wa Akili.
SIO ugumu wa Maisha.
Unamwekea Msengi maneno mdomoni...au wewe ndio mhusika mwenyewe?1. Mapenzi au
2. Mgonjwa wa Akili.
SIO ugumu wa Maisha.
Ubishi katika kiwango cha juu mno, unambishia vipi aliyefanya tukio?1. Mapenzi au
2. Mgonjwa wa Akili.
SIO ugumu wa Maisha.
Kina junya hamuwezi kuelewa maana ya "ugumu wa maisha"1. Mapenzi au
2. Mgonjwa wa Akili.
SIO ugumu wa Maisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini mwenyewe si kasema ugumu WA maisha mkuu? Mbona unambishia assistant marehemu
At 40 mtu anapaswa kuwa ametulia kimaisha. Lkn jamaa ndiyo kwanza anatafuta ajira. Hivi hii kauli ya " life begins at 40" inafanya kazi Afrika??James Msengi Mkazi wa Tabora anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 amenusurika kifo baada ya kujaribu kujiua kwa kujikata na kisu shingoni akiwa kwenye kituo cha Mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro.
Bado hujakua wewe.1. Mapenzi au
2. Mgonjwa wa Akili.
SIO ugumu wa Maisha.