Mkuu nimependa hapo "true
love will make me winner" nakuombea upate mschana mwenye sifa unazotaka
japo sio hapa jf
mbona unamkatisha tamaa mwenziooo?
Mkuu nimemkatisha tamaa wapi? Shida nikupata mke wa sifa zake au nikupata mke hapa jf?
sasa kama yeye kaamua kutafuta mke jf that means anaamin jf kuna wife materials wa kutosha tuu na ndo maana kaja pande hz.
Neno langu sio sheria
kias kwamba laweza kukata huku na kule.
kama wewe siyo mahiri wa kiingeeza :Am 30 old. I loved to pursue..... kwa nini utake mwenza sharti we mahiiri wa kiingereza?Am 30 old. I loved to persue my dreams in formal education untill recently nilipokosa cash to pay for studies. Nipo kitaa nasaka noti japo sometimes nasota bure, lakini ninamalengo thabiti. Now am focusing on establishing my own business. In a real sense am a fighter, its my hope that true love will make me a winner. Sitaki kupata love kwa pesa, bali nataka kupata love kwa utu wema. Natafuta binti mrembo asiye na tamaa ya maisha bwerere. Bali awe ni mdada mrembo anayejiamini na aliyetayari kujijenga nami from the foundation of thought to the sky of real riches. Naprefer age ya 20 to 25. Pia awe ni mdada anayependa kusoma self improvement books. Awe fluent in English and Swahili, she must have computer and financial literacy. Asiwe na multiple dates! Just PM me if you are willing to get along with me.
mbona unamkatisha tamaa mwenziooo?
Hongera mkuu kwakuutoa ukweli and hope utapata tu..Ila hapa Jf wanawake wengi wamekaa kuchunachuna tu....Umewahi kuishi America ya Kaskazini?(Either Cananda au Marekani)Am 30 old. I loved to persue my dreams in formal education untill recently nilipokosa cash to pay for studies. Nipo kitaa nasaka noti japo sometimes nasota bure, lakini ninamalengo thabiti. Now am focusing on establishing my own business. In a real sense am a fighter, its my hope that true love will make me a winner. Sitaki kupata love kwa pesa, bali nataka kupata love kwa utu wema. Natafuta binti mrembo asiye na tamaa ya maisha bwerere. Bali awe ni mdada mrembo anayejiamini na aliyetayari kujijenga nami from the foundation of thought to the sky of real riches. Naprefer age ya 20 to 25. Pia awe ni mdada anayependa kusoma self improvement books. Awe fluent in English and Swahili, she must have computer and financial literacy. Asiwe na multiple dates! Just PM me if you are willing to get along with me.
yaaaap! Ya advising me gud thngs man....I dated conventionaly 5 yrs back, and it all ended up hurting me severely! So I decided to use online dating as an alternative...u see! Online daters aint all bad, but the bad thing is to think bad abt what we don know....Hongera mkuu kwakuutoa ukweli and hope utapata tu..Ila hapa Jf wanawake wengi wamekaa kuchunachuna tu....Umewahi kuishi America ya Kaskazini?(Either Cananda au Marekani)
Kama ukweli unakatisha tamaa, basi na akate tu, maana hiyo ndo hali halisi.... Msimpe mtu moyo wa kinafiki
May god bless you.beleave u will made it.
kama ukweli unakatisha
tamaa, basi na akate tu, maana hiyo ndo hali halisi.... Msimpe mtu moyo
wa kinafiki