Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,602
- 6,386
Nomlakitimoto
How did they disapprove the said theorems?! What is black hole, and what the hell are you trying to say here?!Karl Polper will always be remembered by his theory of "Falsification"...
Now we can say we were wrong at last.
I think nature has got great mystery ever noted.
Very clear voiceYes ipo siku Einstein watamprove wrong. Ingawa theory zake ni the most successful scientific theories ever. Haya mambo ya quantum physics yatakuja kuturn knowledge yetu upside down.
Kuweza kuprove black hole ina maanisha space haipo wazi ipo kama blanket. Shimo haliwezi kutokea kwenye uwazi. Space ikiwa kama blanket all matter including the sun stars etc zinatengeneza mashimo madogo madogo ambayo yanafanya matter ndogo zaidi zidumbukie.Nataka kusema wanaokosoa huenda nao wakiwa wanakosea .
Kutumia black hole (nafasi wazi katika anga)kama kigezo cha kupinga nadharia ya Newton ni sasa na kuangalia doa kwenye nguo nyeupe na kuukosoa upande usio na madoa.
No Quantum physics will never be falsfied!!!!Very clear voice
Ngoja tuoneYes ipo siku Einstein watamprove wrong. Ingawa theory zake ni the most successful scientific theories ever. Haya mambo ya quantum physics yatakuja kuturn knowledge yetu upside down.
Acha tu. Taratibu wameshaanza kwa ku challenge ile notion ya spacetime.Ngoja tuone
Vijana wanapasha vichwa snaa sa hivi
Kwa mantiki hiyo Quran itakuwa imeeleza sawaKuweza kuprove black hole ina maanisha space haipo wazi ipo kama blanket. Shimo haliwezi kutokea kwenye uwazi. Space ikiwa kama blanket all matter including the sun stars etc zinatengeneza mashimo madogo madogo ambayo yanafanya matter ndogo zaidi zidumbukie.
Hivyo basi Newton was wrong because there is no such thing as gravity but bend in space time. Inayafonya Earth kuifuata Jua sio mvutano, bali Earth imedumbukia kwenye shimo la Jua.
No wapo sahihi kwa asilimia 70....Yes ipo siku Einstein watamprove wrong. Ingawa theory zake ni the most successful scientific theories ever. Haya mambo ya quantum physics yatakuja kuturn knowledge yetu upside down.
Mkuu umenichekesha sana πππ. Ila kweli naona kadri miaka inavyoenda tunazidi kuwa wajinga.Vyakula vya sasa nina wasiwasi kama kuna kipya tutawaza kizazi hiki.
Wakati nikiwa junior grade niliwahi kum challenge mwalimu nikaambulia barua ya utovu wa nidhamu..fine Einstein namheshimu ila tafiti inapingwa na tafiti...atabaki kuwa mwasisi ila zama zinabadilika!Acha tu. Taratibu wameshaanza kwa ku challenge ile notion ya spacetime.