At TCAA courtesy, KQ resumes flight to Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,767
78,435
National carrier Kenya Airways (KQ) has resumed flights to Tanzania following the lifting of a ban on local aviation operators.
The carrier says it will operate two daily flights to Tanzania’s capital Dar es Salaam and three weekly flights to Zanzibar.

KQ made its first ‘post-lockdown’ flight to Dar es Salaam on Monday morning while flights to Zanzibar will return from this Saturday.
The flights to Zanzibar are set to increase traffic to Kenya Airway’s Nairobi New York route which resumes later at the end of October.
While lauding the resumption of the flights, Kenya Airways Group CEO Allan Kilavuka says the connectivity is crucial to the economies of both countries.

“We are pleased to resume our services to Dar es Salaam and Zanzibar following this announcement by the Tanzanian Government. Tanzania is critical to both Kenya and East Africa’s economic growth and we look forward to our continued collaboration,” he said.
On Wednesday last week, the Tanzanian government through the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) made a turnaround to the decision banning local carriers after Kenya included arrivals from the country on its ‘safe-flights’ list.

Kenya’s decision to require arrivals from Tanzania to enter a 14-day quarantine following the resumption on international flights on August 1 saw the Tanzanian government put a blockade on local air operators in retaliation.

=======

MY TAKE: Now Kenya needs to behave
 
Mijitu miko obsessed na Kenya khaaa.U literally eat, drink and sleep Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪.Thank u am happy we are living rent free in ua heads
 
Mijitu miko obsessed na Kenya khaaa.U literally eat, drink and sleep Kenya .Thank u am happy we are living rent free in ua heads
Sasa mbona unajipa taabu kiasi hicho?, wewe endelea na maisha yako, tuache sisi tuendelee kula, kunywa na kulala tukiiwaza Kenya, au inakuuma sana?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama unalijua hilo kwanini unapata taabu Sana?, au na wewe Jubilee inakulipa unaogopa ukiacha hutolipwa?
Heri mimi kuliko wewe unaejisimbua na nchi nyingine.Uzuri Kenyans love minding their own business ujinga hatunanga.But since we ni mwanaccm naelewa
 
Kwenye hizi kukuru-kakara Kenya siku zote imekua ikishindwa vibaya sana na wamekua wa kwanza kuomba msamaha lakini wamekuwa hawajifunzi kutokana na makosa ya nyuma,

Wanatakiwa kujua ipi nafasi ya Tanzania ukanda huu na huo uchumi wao wa kwenye makaratasi usioakisi maisha ya kawaida ya mkenya ni kanyaboya

Wanategemea Tanzania kwa karibu kila kitu na Tanzania ndio jirani yake pekee ambae wanaweza kumregard kama Taifa jirani wengine hao wote ni mahasimu wao na Uganda kidogo japo kwa dharau zao wanamuona Uganda sio chochote.
 
Heri mimi kuliko wewe unaejisimbua na nchi nyingine.Uzuri Kenyans love minding their own business ujinga hatunanga.But since we ni mwanaccm naelewa
If Kenyans do minding their own business, why do you mind what I am doing, are you not a Kenyan?
 
Kwenye hizi kukuru-kakara Kenya siku zote imekua ikishindwa vibaya sana na wamekua wa kwanza kuomba msamaha lakini wamekuwa hawajifunzi kutokana na makosa ya nyuma,

Wanatakiwa kujua ipi nafasi ya Tanzania ukanda huu na huo uchumi wao wa kwenye makaratasi usioakisi maisha ya kawaida ya mkenya ni kanyaboya

Wanategemea Tanzania kwa karibu kila kitu na Tanzania ndio jirani yake pekee ambae wanaweza kumregard kama Taifa jirani wengine hao wote ni mahasimu wao na Uganda kidogo japo kwa dharau zao wanamuona Uganda sio chochote.

kenya hawako organized, hawana umoja katika administration hadi kwa raia huku chini. Ni failed state. Viongozi wana hujumiana wenyewe kwa wenyewe. Yani ni kawaida kusikia wafanyakazi fulani au senetors fulani wana unga mkono kiongozi huyu..wengine wana mpinga yule.. hivyo hata maamuzi yao na sera zao ni kukurupuka tu na kuhujumiana ili kuoneshana umwamba kwamba huyu kiongozi hafai n.k.. tuendelee tu kutegemea drama zao hawa watu maana hawako sawa kabisa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom