At nght | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

At nght

Discussion in 'Jamii Photos' started by kingfish, Apr 25, 2012.

 1. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Vpi mgao wa umeme upo hapa?
   

  Attached Files:

 2. p

  pacha New Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nchi kama hizo hazijui mgao wa umeme, ukikatika hata nusu saa mtu anawajibika kuachia ofisi kwa hasara atakayokuwa amesababisha
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tanzania ikija kufikia huko ni 2061 ni baada ya miaka 100 ya uhuru wa mkoloni
   
 4. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nipo nchi za mbali ni nina mwaka sasa.... sijaona umeme umekatika hata sekunde!! so kaz kaz tu...wale wenzangu na mm wa bongo wanaofurahia umeme ukikatika wanapata kabreak kidogo kupiga soga, nchi kama hizo ni vilio tu... hakuna cha kusubiria umeme kukatika, yaani upo 24/7/52
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  ungeuliza kama kuna mgawo wa giza ningekujibu bila shaka
   
Loading...