Sasa huyu Kitilya na hao vijana wamepewa dhamana au wamepelekwa Keko? Maana wamesomewa mashitaka yao mchana na kwa kawaida ukisomewa mashitaka ijumaa mchana mara nyingi to meet bail conditions inakuwa shida!!!
Washitakiwa wote watatu wamepelekwa rumande, wamekosa dhamana kwani Kifungu Na. 148 (5) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) Kinazuia utoaji wa dhamana kwa washtakiwa wa Utakatishaji wa fedha haramu. Kesi hii itatajwa tena tarehe 8/4/2016.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.