Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,315
- 28,597
sio Boeing ni Air bus,Acha kupotosha na kutuona si mabweegee, io engine haina pangaboi wakati ile ya mbombadia inao pangaboi kwenye kila bawa, unatuwekea picha ya Boeing unaiedit halaf unasema ni bombadia, pathetic
***Acha kupotosha na kutuona si mabweegee, io engine haina pangaboi wakati ile ya mbombadia inao pangaboi kwenye kila bawa, unatuwekea picha ya Boeing unaiedit halaf unasema ni bombadia, pathetic
Muda si mrefu kitu kitatuaAIRBUS A320..ok point yako ni nini labda!???
"Pathetic", wanaotumia maneno haya hua wamesoma na kukijua kiingereza vizuri, binafsi hua naamini hivyo, lakini napata ukakasi kama kashindwa soma Airbus 320 na kusema hiyo ni Boeing..Acha kupotosha na kutuona si mabweegee, io engine haina pangaboi wakati ile ya mbombadia inao pangaboi kwenye kila bawa, unatuwekea picha ya Boeing unaiedit halaf unasema ni bombadia, pathetic
Yard maalumu ya kutengeza ndege order za tanza iaCrocodiletooth, hiyo hapo chini ya hilo jidege ni nini? View attachment 411183