ASUS Zenfone Max Pro M1

beka the boy

Senior Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
167
Reaction score
97
Wazee kuna hii simu, specification zake zianaonekana ziko poa kinoma,ukizingatia bei yake pia ni bomba atari.

Naomba kupata uzoefu kwa yeyote ambae anatumia/ameshawahi kutumia hii simu na pia kama kuna mapungufu pia sio mbaya.

Nikayajua

.
 
Simu iko poa sana hiyo. Performance ni nzuri na pia imekua updated to Android 10. Hutasikitika ukichukua huo. Na pia ina support kubwa sana kwenye community ya custom ROMs
 
Simu iko poa sana hiyo. Performance ni nzuri na pia imekua updated to Android 10. Hutasikitika ukichukua huo. Na pia ina support kubwa sana kwenye community ya custom ROMs
Shukran mkuu, ndo unayotumia muda huu sio!!
 
Kama inatengenezwa na "Bruce Lee" achana nayo. Chuck Norris yuko mbioni kumkaba koo Bruce Lee 😁😁
 
Nlikuwa nayo last year 2019 ni kati ya simu roho inaniuma kwann nliuza. Asus[emoji109]
 
sd 636 mkuu ni kama imepitwa na wakati kidogo, kama unaweza ongeza kidogo around dola 140 hivi kuna lg g7 thinq, hands down simu bora zaidi aliexpress chini ya dola 150, kibongo bongo inakuja kama 320,000 hivi. g7 ni equivalent ya galaxy s9, op6, p20 pro, flagship level smartphone, kama unaamua kujilipua its worth it.

kibongo bongo simu za sd 636 mkononi zimejaa kibao zinarange 150k mpaka 300k mfano nokia 6.1 plus (x6) mpaka 170k nimeisearch sasa hivi.
 
Mkuu unatumia mtandao gani kuangalia bei za simu namatoleo yake hapa bongo.
 
Mkuu unatumia mtandao gani kuangalia bei za simu namatoleo yake hapa bongo.
google, nasearch tu model na neno Tsh kwa mbele, zinakuja results za zoom, jiji, na site mbalimbali, pia manual natumia kupatana na facebook, siku hizi kupatana wanajiamini sana matokeo hayaji google.
 
Shukran mkuu,ntaufanyia kazi ushauri wako
 
Huyu je lg na redmi note 8t , kuhusu update vipi bado anapata huyo lg au ashapata
 
google, nasearch tu model na neno Tsh kwa mbele, zinakuja results za zoom, jiji, na site mbalimbali, pia manual natumia kupatana na facebook, siku hizi kupatana wanajiamini sana matokeo hayaji google.
Mkuu nimeangalia aliexpress naona wauzaji karibia wote kuna malalamiko sana,Alaf ni unlocked sio global version,vp haiwezi kuja kuleta shida kwenye suala la network?
 
Hizi simu za LG AliExpress no Finished ni kimeo sana nilinunua G5 ukawa na shida ya kudrain charger hata baada ya kubadilishia chaji na battery
 
Mkuu nimeangalia aliexpress naona wauzaji karibia wote kuna malalamiko sana,Alaf ni unlocked sio global version,vp haiwezi kuja kuleta shida kwenye suala la network?
angalia model husika gsmarena band zake, kila model inakuwa na band tofauti then linganisha na za Tanzania. za kwetu 3, 7, 20 na 40
 
Hizi simu za LG AliExpress no Finished ni kimeo sana nilinunua G5 ukawa na shida ya kudrain charger hata baada ya kubadilishia chaji na battery
Mkuu nimeangalia aliexpress naona wauzaji karibia wote kuna malalamiko sana,Alaf ni unlocked sio global version,vp haiwezi kuja kuleta shida kwenye suala la network?
siku zote mkuu simu za Aliexpress ambazo sio mpya ni kujilipua, kuna risk ya kuletewa kimeo, ni sawa na refurb za kariakoo, nimetoa tu suggestion kununua used ya sd636 na sd 845 ni bora ya 845, maana ukipata kinakuwa kitu cha maana.

otherwise nunua tu hizi xiaomi/realme/honor etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…