S s02tz Member Joined Dec 16, 2013 Posts 34 Reaction score 11 Jan 27, 2014 #21 Hapo ipo dalili kuna la ziada ila pia watu wengine wanatumia maji kupunguza stress
S s02tz Member Joined Dec 16, 2013 Posts 34 Reaction score 11 Jan 27, 2014 #22 Kama mtu kapita chochoro katongoza kisha katoswa akiweza kupata maji akaoga inampunguzia machungu......kutoswa noma
Kama mtu kapita chochoro katongoza kisha katoswa akiweza kupata maji akaoga inampunguzia machungu......kutoswa noma
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,508 Reaction score 830,009 Jan 27, 2014 Thread starter #23 s02tz said: Kama mtu kapita chochoro katongoza kisha katoswa akiweza kupata maji akaoga inampunguzia machungu......kutoswa noma Click to expand... mmh pengine...!
s02tz said: Kama mtu kapita chochoro katongoza kisha katoswa akiweza kupata maji akaoga inampunguzia machungu......kutoswa noma Click to expand... mmh pengine...!
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Jan 27, 2014 #24 inspector laddy said: Duuuuu!mi naoga mara tatu kwa siku na zote najiswafi ile ya uhakika,kujimwagia maji tu labda wanaume kwa mtt wa kike hyo hamna Click to expand... kwenu ninyi kuoga ni kawaida! hata nanasikirikuu analitambua! binti msafi ndio kimbilio langu..! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
inspector laddy said: Duuuuu!mi naoga mara tatu kwa siku na zote najiswafi ile ya uhakika,kujimwagia maji tu labda wanaume kwa mtt wa kike hyo hamna Click to expand... kwenu ninyi kuoga ni kawaida! hata nanasikirikuu analitambua! binti msafi ndio kimbilio langu..!
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Jan 27, 2014 #25 nitonye said: wengine wanapelekwa kulima wakiwa ndotoni? Click to expand... hahahaa si aoge ndotoni hukohuko
nitonye said: wengine wanapelekwa kulima wakiwa ndotoni? Click to expand... hahahaa si aoge ndotoni hukohuko
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Jan 27, 2014 #26 Washawasha said: Usiku si tunaumba watoto. Nalog off Click to expand... unaumba we Mungu?
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jan 27, 2014 #27 mshana jr said: Ndio yani kuchukua maji na sabuni au shamppo na kuingia bafuni na kuanza kupiga deki mwilini Click to expand... je kuogelea mtoni napo kuoga...?
mshana jr said: Ndio yani kuchukua maji na sabuni au shamppo na kuingia bafuni na kuanza kupiga deki mwilini Click to expand... je kuogelea mtoni napo kuoga...?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,508 Reaction score 830,009 Jan 27, 2014 Thread starter #28 kabanga said: je kuogelea mtoni napo kuoga...? Click to expand... hahaaa au swiming pool au mvua ikinya manake wengine hawaogi hadi wanyewe na mvua akiingia ndani anamalizia na taulo
kabanga said: je kuogelea mtoni napo kuoga...? Click to expand... hahaaa au swiming pool au mvua ikinya manake wengine hawaogi hadi wanyewe na mvua akiingia ndani anamalizia na taulo
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Jan 27, 2014 #29 Utaanzaje kutoka kama hujaoga?
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Jan 28, 2014 #30 Lady doctor said: unaumba we Mungu? Click to expand... Mimi ndiye muumbaji na M/mungu ndiye atakayempa rizki yake. Nalog off
Lady doctor said: unaumba we Mungu? Click to expand... Mimi ndiye muumbaji na M/mungu ndiye atakayempa rizki yake. Nalog off
inspector laddy JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 761 Reaction score 258 Jan 30, 2014 #31 Excel said: kwenu ninyi kuoga ni kawaida! hata nanasikirikuu analitambua! binti msafi ndio kimbilio langu..! Click to expand... meona eeeee!!
Excel said: kwenu ninyi kuoga ni kawaida! hata nanasikirikuu analitambua! binti msafi ndio kimbilio langu..! Click to expand... meona eeeee!!