Annuity
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 338
- 198
If humanity is serious about colonizing Mars, we need to get busy studying how to get busy in space..
- Mike Wall.
Kumekuwa na harakati nyingi sana katika huu ulimwengu ambapo nchi za dunia ya kwanza zimekuwa zikienda kufanya shughuli mbali mbali za kitafiti katika sayari nyingine na mwezini.- Mike Wall.
Matajiri nao wameona fursa ya kufanya biashara ya utalii kwa kupeleka watu wenye ''fedha zao'' kwenda anga za mbali ''kula bata'', lakini pia kijana mwenye uwezo mkubwa wa kiakili na mtaalamu wa kutengeza roketi na kuzitupa anapotaka Elon Musk na kampuni yake ya SpaceX amesema mpaka 2022 lazima watu wawe wameenda zao sayari ya Mars ''kula maisha'' kulingana na jarida la Fortune.
Kutokana na shauku kubwa ya watu kutaka kwenda huko ampako watu wa fizikia wanatuambia kuna micro-gravity environment ambapo unaelea kama unyoya tu. Swali langu kwa wataalamu wa anga Astronauts Je huko anga za mbali suala la kujamiiana linawezekana? wakati tunafahamu nguvu ambayo inatumika wakati wa tendo hili ni kubwa na in weightless manner it means haliwezi kufanyika? na hakuna mahali ambapo imeshaonesha kuwa kitendo hiki kimeshafanyika huko anga za mbali hata NASA wanakiri suala hili halijafanyika na ni gumu kufanyika kwa mazingira ya kule.. sasa tunapofikiria kuhamia sayari nyingine tumeshafikiri watu watazaliana vipi wakati sex kwa huko is almost impossible?
Nafikiri hii ni loophole amabayo watafiti wanaifumbia macho ila ina impact kuliko wanavyadhani, kupeleka watu wakaishi huko siamini kama inatosha without thinking of sex, kwa nature ya binadamu hawezi akaishi mahali without sex au kuzaliana.
let m know the truth...