Astra 2f @ 28'e,nilesat 7'w,eutelsat 16'e

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
Wataalam wenzangu,kwanza kwa hapa dar astra 2F @ 28'E na nilesat 7'W zinaweza kupatikana kwa dish saizi gani na ku aina gani?na kama kuna yeyote aliyewahi kupata zote hizo au mojawapo, aweke attachment ili tujifunze kwa mifano wataaaalamu,pili jamani huwa naweza kuipata amos 5 @ 17'E kila ninapotaka bila taaabu,lakini hiyo eutelsat 16'E huwa inanitatiza sana,wapi ninnapopishana nayo wataaaalam,nina offset dish ya cm 90,na prime focus ya 180 cm na eurostar ku ya 0.3db,ntashukuru wataaaaaalm
 
Kwanza ni kuitafuta amos17 kwa signal kubwa kabisa.baada ya hapo clockwise lnb yakotaratibu utaipata freq 10804/30000.. Mimi natumia dish ft6 na ku ya kawaida mimetega 20e,17e,16e kwa dish hilo moja
 
Nilijaribu kutafuta Eutelsat 28.5[SUP]0 [/SUP]na Astra 2F kwa Dar bila mafanikio, kwa kutumia prime focus ya futi 8. Niliambiwa na wenzangu kwamba unaweza kupata kwa kutumia PF ya futi 16 na kuendelea. Chungulia majibu HAPA.
 
Wataalam wenzangu,kwanza kwa hapa dar astra 2F @ 28'E na nilesat 7'W zinaweza kupatikana kwa dish saizi gani na ku aina gani?na kama kuna yeyote aliyewahi kupata zote hizo au mojawapo, aweke attachment ili tujifunze kwa mifano wataaaalamu,pili jamani huwa naweza kuipata amos 5 @ 17'E kila ninapotaka bila taaabu,lakini hiyo eutelsat 16'E huwa inanitatiza sana,wapi ninnapopishana nayo wataaaalam,nina offset dish ya cm 90,na prime focus ya 180 cm na eurostar ku ya 0.3db,ntashukuru wataaaaaalm

mkuu io astra nimziki mwingne kabisa ila izo nyingne niraisi sana kuzipata ningekutumia picha zake ila kuziweka hapa wala sijui hua wanawekaje labda kama una wasapu nitumie n# yako fasta uondokane na ilo dukuduku la moyo wako.....
 
yani sat zote hizo inategemea na eneo ulilopo hapa tz na size ya dish kama astra 2f kwa watu waliopo magharibi ya tz ni rahisi kuipata na eutel 16 vilevile inategemea na eneo mfano mimi nikiwa songea eutel naipata hata na dish la cm 60 lakini nikiwa maeneo ya same kilimanjaro siipati hata kwa cm 90 kwahiyo kwa wale ambao wamefanikiwa kupata ni vizuri watupe na maeneo walipo pamoja na size gani ya dish, na ukubwa wa dish unaweza saidia kuipata sat hata kama uko nje ya beam ya sat.
 
thanks in advance mkuuuuuuuuu,wk end hiii nafanyiakazi,jumatatu ntatoa mrejesho mkuuu
 
Kwanza ni kuitafuta amos17 kwa signal kubwa kabisa.baada ya hapo clockwise lnb yakotaratibu utaipata freq 10804/30000.. Mimi natumia dish ft6 na ku ya kawaida mimetega 20e,17e,16e kwa dish hilo moja

Please weka picha jinsi yakuseti kwenye ft6 hiyo Amos 5@17 tafadhari.
 
...

itafute kwanza arabsat5c@20.....kisha juu ya io lnb yako kushito ndio unaipachika io ku yako ndio itakupa io eutl sat na amos5.

Labda mi ninachofaham kwenye dish ft6 ni kupata K24 NSS 57, Ebru nafikili ni Dstv Eutelsat 36, Ile ya Emmanuel TV, nafikili ni Intelsat 68.5. Hasa hiyo Amos 5 nisemu gani ili nipate mwanga kaka.
 
kwa maelezo yako wewe umefikiri dish linabaki pale 64e jibu ni hapana ukishaamua kutafuta hizi nyuzi 20,17 na 16 lazima dish ulilokuwa unapata local chanel uligeuze au uongeze dish lingine na ugeuzie huku zinapopatikana zuku,azam nk.
 
Labda mi ninachofaham kwenye dish ft6 ni kupata K24 NSS 57, Ebru nafikili ni Dstv Eutelsat 36, Ile ya Emmanuel TV, nafikili ni Intelsat 68.5. Hasa hiyo Amos 5 nisemu gani ili nipate mwanga kaka.

swali lako halieleweki mkuu emu uliza vizuri basi.?
 
Swali langu linahusu kuipata Amos5@17 kwenye dish la ft6 bila kupoteza local channels. Je inawezekana? Au kutumia dish la ZuKu kuipata Amos 5@17 nasikia kuna local channels za Tanzania.
 
nami nakujibu kama ifuatavyo kwakutumia dish ft 6 bila kupoteza local unazo zipenda aiwezekani....
kuhusu izoo offset dish nyingine inawezekana na inategemea ja mahali ulipo.

kuhusu local chanel ni kweli zipo.

swali lingine.?
 
Swali langu linahusu kuipata Amos5@17 kwenye dish la ft6 bila kupoteza local channels. Je inawezekana? Au kutumia dish la ZuKu kuipata Amos 5@17 nasikia kuna local channels za Tanzania.

nimekuelekeza hapo juu .ukitaka amos5 17 lazima ugeuze dish na ukigeuza utakosa local chanel kama za ipp nk kwa sababu amos 5 local zilizopo free ni tbc,ch10.,kwanzatv, na zingine nyingi ambazo sio za hapa nchini......jibu la swali lako la pili... Ndio dishi la zuku linafaa kukamata amos5 17degree
 
Shukrani kaka nifanyie kazi hilo. Ningeomba Tp yenye nguvu/ yenye signal kubwa ili inisaidie wakati wakuseti. Na je ipo juu au chini ya Ses 5 pale zinapokamata Chanel za ZuKu?. Nitashukuru kwakunijibu.
 
tumia izi 10804h 30000
kama umeipata ses@5e lisogeze dish lako kupande wa kulia kwako kiasi cha kama cm 3 ivi kisha anza kuli binua juu taratibu huku ukitazama tv..... hope utaipata.

happy hunting broo
 
Kaka nasogeza kulia kwangu nikiwa nyuma au mbele ya dish.
 
hello wadau
Nahitaji kupata Eutelsat 7 at 7.3W (E7WA) kwa ajili ya BeinSport and MBCs channels. Ninalo dish la KU size 240cm (8ft). Nipo Dar.
 
hivi moshi ni sattelite gani zinapatkana kwa dishi dogo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom