Astoria Bar & Grill,Mafinga,Iringa

Mgoroko

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
840
Reaction score
491
Kiwanja kipya cha kijanja kimefunguliwa mji mpya unao kuwa kwa kasi Mafinga,Iringa,Fika ujipatie huduma zote muhimu kwa binadamu aliye timilika,na usahau kama upo ugenini.
 
Nakuja chemba Mgoroko nna mawili matatu ya kujadili nawe kabla sijafanya maamzi sahihi ya kuhamia Mafinga mazima!
 
Mafinga kushakua ivyo nimeishi sana maeneo ya Jeshini kawawa na Changarawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…