1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,969 Reaction score 13,848 Jan 21, 2020 #41 makaveli10 said: Rasmi mimi ni mshabiki wa aston villa kwa muda wa miaka mi4 na musu ikitegemea na hatima ya samatta katika klabu hiyo. Click to expand... Tuko pamoja, Sent using Jamii Forums mobile app
makaveli10 said: Rasmi mimi ni mshabiki wa aston villa kwa muda wa miaka mi4 na musu ikitegemea na hatima ya samatta katika klabu hiyo. Click to expand... Tuko pamoja, Sent using Jamii Forums mobile app
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,377 Reaction score 23,521 Jan 21, 2020 #42 Demu wa Mr nice Laki Si Pesa said: nimemkumbuka Diana Aston Villa! R.I.P Diana. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Demu wa Mr nice Laki Si Pesa said: nimemkumbuka Diana Aston Villa! R.I.P Diana. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Pacbig JF-Expert Member Joined Oct 15, 2017 Posts 1,095 Reaction score 2,090 Jan 21, 2020 #43 Frank Wanjiru said: Twanga Pepeta Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hujaulizwa wewe mbona unashoboka Sent using Jamii Forums mobile app
Frank Wanjiru said: Twanga Pepeta Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hujaulizwa wewe mbona unashoboka Sent using Jamii Forums mobile app
Pacbig JF-Expert Member Joined Oct 15, 2017 Posts 1,095 Reaction score 2,090 Jan 21, 2020 #44 Frank Wanjiru said: Twanga Pepeta Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Stupid Sent using Jamii Forums mobile app
Frank Wanjiru said: Twanga Pepeta Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Stupid Sent using Jamii Forums mobile app
waOLDmoshi JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 879 Reaction score 1,753 Jan 21, 2020 #45 makaveli10 said: Rasmi mimi ni mshabiki wa aston villa kwa muda wa miaka mi4 na musu ikitegemea na hatima ya samatta katika klabu hiyo. Click to expand... Tuko pamoja mkuu.
makaveli10 said: Rasmi mimi ni mshabiki wa aston villa kwa muda wa miaka mi4 na musu ikitegemea na hatima ya samatta katika klabu hiyo. Click to expand... Tuko pamoja mkuu.
U uhurubado JF-Expert Member Joined Mar 25, 2007 Posts 929 Reaction score 1,085 Jan 21, 2020 #46 Victoire said: Watanzania bwana. Aston Villa ikishuka ligue sijui mtajificha wapi ? Click to expand... Tunashuka nayo mkuu. Ilipo tupo!
Victoire said: Watanzania bwana. Aston Villa ikishuka ligue sijui mtajificha wapi ? Click to expand... Tunashuka nayo mkuu. Ilipo tupo!
MR KUO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,760 Reaction score 3,954 Jan 21, 2020 #47 Dah hatimae Leo nakuwa shabikiwa timu mbili. Aston Villa Liverpool. Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hatimae Leo nakuwa shabikiwa timu mbili. Aston Villa Liverpool. Sent using Jamii Forums mobile app
Jerry Rebiam JF-Expert Member Joined May 22, 2016 Posts 402 Reaction score 360 Jan 21, 2020 #48 Wale mnaobet leo Aston villa win or draw Sent using Jamii Forums mobile app
Jerry Rebiam JF-Expert Member Joined May 22, 2016 Posts 402 Reaction score 360 Jan 21, 2020 #49 Team zote alizochezea Samata zilichukua ubingwa sasa ni zamu Aston villa Sent using Jamii Forums mobile app
Team zote alizochezea Samata zilichukua ubingwa sasa ni zamu Aston villa Sent using Jamii Forums mobile app
Olmost JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 340 Reaction score 448 Jan 21, 2020 #50 Jerry Rebiam said: Team zote alizochezea Samata zilichukua ubingwa sasa ni zamu Aston villa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... "Ukitaka kuendelea kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota" alisikika mlevi mmoja akisema Sent using Jamii Forums mobile app
Jerry Rebiam said: Team zote alizochezea Samata zilichukua ubingwa sasa ni zamu Aston villa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... "Ukitaka kuendelea kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota" alisikika mlevi mmoja akisema Sent using Jamii Forums mobile app
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Jan 21, 2020 #51 Tupo pamoja😀😀 Soon navuta jezi yangu
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Jan 21, 2020 #52 Hazard CFC said: Na kule wanaenda kushuka tena, wawaulize Sunderland pale championship palivyo pagumu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Championship sio kuzuri aisee Wigan mpaka sasa anasota.
Hazard CFC said: Na kule wanaenda kushuka tena, wawaulize Sunderland pale championship palivyo pagumu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Championship sio kuzuri aisee Wigan mpaka sasa anasota.
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 12,151 Reaction score 44,072 Jan 21, 2020 #53 Mimi ni mshabiki rasmi wa Aston Villa wa siku nyingi sana, ujio wa Samatta kwenye timu yetu imenipa hamasa kubwa sana.
Mimi ni mshabiki rasmi wa Aston Villa wa siku nyingi sana, ujio wa Samatta kwenye timu yetu imenipa hamasa kubwa sana.
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 12,151 Reaction score 44,072 Jan 21, 2020 #54 Victoire said: Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa. Click to expand... Kila jambo lina mwanzo wake, kucheza tu katika ligi kuu ya uingereza ni mafanikio makubwa sana, mengine yanafuata. Samatta amefungua njia.
Victoire said: Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa. Click to expand... Kila jambo lina mwanzo wake, kucheza tu katika ligi kuu ya uingereza ni mafanikio makubwa sana, mengine yanafuata. Samatta amefungua njia.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,289 Reaction score 31,913 Jan 21, 2020 #55 Ung'eng'e aliogonga champion boy Mkulu hata asome QT miaka tisa hawezi..
V Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,006 Reaction score 60,104 Jan 21, 2020 #56 Zanzibar-ASP said: Kila jambo lina mwanzo wake, kucheza tu katika ligi kuu ya uingereza ni mafanikio makubwa sana, mengine yanafuata. Samatta amefungua njia. Click to expand... Kelvin yule atacheza team kubwa. Umri unamruhusu. Ila Sammata naona alikuwa na ndoto ya kucheza EPL,no matter team gani.
Zanzibar-ASP said: Kila jambo lina mwanzo wake, kucheza tu katika ligi kuu ya uingereza ni mafanikio makubwa sana, mengine yanafuata. Samatta amefungua njia. Click to expand... Kelvin yule atacheza team kubwa. Umri unamruhusu. Ila Sammata naona alikuwa na ndoto ya kucheza EPL,no matter team gani.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Jan 22, 2020 #57 Kwani samatta apa bongo kwako ni wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,563 Reaction score 57,888 Jan 22, 2020 #58 Leo wamepiga mwingi mno come back na wameshinda 2-1 wamepanda mpaka nafasi ya 16.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,989 Reaction score 104,472 Jan 22, 2020 #59 Aston villa Sisi 2 Watford 1
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,989 Reaction score 104,472 Jan 22, 2020 #60 Katika usajili mzuri wamefanya villa basi ni reina! Atawastili saana pale golini!! Na samatta akiwa kwenye fom nzuri tu, wategemee kutokushuka daraja kabisa!
Katika usajili mzuri wamefanya villa basi ni reina! Atawastili saana pale golini!! Na samatta akiwa kwenye fom nzuri tu, wategemee kutokushuka daraja kabisa!