Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 41,258
- 31,048
- Asthma ni ugonjwa katika mapafu unao sababisha shida za kupumua. Mishipa inayopeleka hewa katika mapafu hufura kiwango cha kutopata hewa safi ya oksijeni (oxygen). Shambulio kali la Asthma laweza leta maafa.
Ishara za shambulizi la Asthma
- Shida za kupumua
- Mkoromo (kupumua kwa shida) na kutoa sauti kwa kifua wakati unapumua
- Kukohoa
- Uchovu na wasiwasi
Asthma inahatarisha maisha, nenda katika chumba cha dharura ikiwa:
- Mwanao ana matatizo ya kuhema
- Midomo au makucha inapogeuka kijivu
- Ngozi ya sehemu ya shingo ya mtoto inajivuta.