Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,578
- 7,281
Katika kuangalia NACTE Admission Guide 2020/2021 ya June 15, 2020 nimegundua vyuo vingi vimefuta utunukiwaji wa Technicians Certificate na badala yake wanadahili waombaji kwa program za Ordinary Diploma miaka 3.
Sifa zinazotakiwa kwa ujumla ni zile zile kama za kusoma Technician Certificate. Nafikiri hii ina ashiria wameona Certificate haitoi ujuzi wa kutosha hivyo kuhitaji mtu apige miaka 3 moja kwa moja.
Kwa vyuo vikuu vilivyokuwa viatoa certificate na diploma naona kuna shift ya kuzipunguza wabaki na diploma chache sana.
Ni muhimu waombaji kupitia Guidebook hiyo wanapo chagua nini wakafanye.