Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,018
- 144,377
Yaani hapa mkulu alitoa msg safi kwamba jamaa ana shida ya tumboHuyu Jamaa hana tofauti na zitto.
Double agent balaa,si wa kumsikiliza sana ingawa anajielewa.
"Mayalla maana yake ni njaa"
Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana.
Sasa mtu kama huyu anaweza kuwa mpiga kura mzuri wa kusaidia kupata kiongozi bora?Mayalla bna Jamaa yuko Pande pili
Ni ngumu Kusema Yes or No, mayalla kumbuka yuko neutral kulinda Masilahi yake pia kwa vile ni mwandishi wa Habari ni vyema kuwa hivo, Lakini Kwa mtazamo wa haraka Jamaa yuko vizuri kichwani na anajua kuzichanga vyema karataSasa mtu kama huyu anaweza kuwa mpiga kura mzuri wa kusaidia kupata kiongozi bora?
Swali ni je,mtu wa aina hii anaweza kuwa mpiga kura mzuri?Mbona mnamlazimisha kila mtu kuwa mwasiasa, awe anafikiria kama nyie pumbavu kabisa mnataka tyfikirie kwa chuki,ngilibha na roho mbaya, Pascal anasema when black it's black and not white,shame on you
Huyu jamaa ni mmoja ya wale wanaojipendekeza kwa big zuzu...hana tofauti na Jeri muro