Assumpter Aipinga CCM waziwazi

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,325
719
Leo ame ikoromea ccm kuwa ina uza viwanda kwa wa nunuzi wanao ua kusudi.Kiwanda cha baiskeli cha kwanza Tanzania kiliuzwa kwa mhindi aliye kifanya ghala la spea za baiskili toka India.Nahivyo kunusuru biashara ya kuingiza spea za baiskeli toka India.mbunge huyo toka Kagera ambaye mara zote husifu ccm leo amegeuka ghafla na kesema kwanini wame ruhusu sukari ya nje na hivyo kufanya kiwanda cha Kagera kupunguza wafanyakazi?Amesema ni sera ambayo hauikubaliki akiwaunga mkono wapinzani
 
Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.
 
Leo ame ikoromea ccm kuwa ina uza viwanda kwa wa nunuzi wanao ua kusudi.Kiwanda cha baiskeli cha kwanza Tanzania kiliuzwa kwa mhindi aliye kifanya ghala la spea za baiskili toka India.Nahivyo kunusuru biashara ya kuingiza spea za baiskeli toka India

weka picha wote tumesikiiliza bunge haya ni yako si yake kwa ushahidi ili tukuamini weka picha mkuu.
 
Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.

Ingekuwa chama cha mjomba leo angeipata kesho angevuliwa nyadhifa zake zote ndani ya chama na kashifa kibao juu yake.
 
magamba kujitetea hamjambo,still iyo haiwezi kuondoa uchafu wa ccm na wala haitazuia nguvu ya mabadiliko. Lazima tuwapumzisha mkajifunza hata tuition namna ya kuongoza inji.
 
Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.

CCM wapo technical wale ukiwapinga wanakusubiri kwenye kona wanakutosa kimya kimya chezea CCM uipinge uone kama awamu inayofuata utarudi mjengoni
 
Ingekuwa chama cha mjomba leo angeipata kesho angevuliwa nyadhifa zake zote ndani ya chama na kashifa kibao juu yake.

Au ungesikia tu gari yake imepata ajali pale Mvumi na kufia hapo hapo huku dereva wake bwana Deus Mallya akitoka bila kovu.
 
Huyu Asumpta aliyetete upuuzi na kuwazika watanzania?
Saa zingine bangi zinampeleka vinaya huyo maza
 
Leo ame ikoromea ccm kuwa ina uza viwanda kwa wa nunuzi wanao ua kusudi.Kiwanda cha baiskeli cha kwanza Tanzania kiliuzwa kwa mhindi aliye kifanya ghala la spea za baiskili toka India.Nahivyo kunusuru biashara ya kuingiza spea za baiskeli toka India.mbunge huyo toka Kagera ambaye mara zote husifu ccm leo amegeuka ghafla na kesema kwanini wame ruhusu sukari ya nje na hivyo kufanya kiwanda cha Kagera kupunguza wafanyakazi?Amesema ni sera ambayo hauikubaliki akiwaunga mkono wapinzani

Nimemsikia huyu Mama kalia lia kama wenzake wote na mwisho wana aunga mkono hoja .Wamesha ona siku zinakatika sasa wana anza kujifanya wanataka kurudi tena Bungeni na wanasema wazi .Serikali fanyeni tuweze kurudi bungeni .Wanajua utapeli wao kila mara hata bungeni wanaleta utapeli .Watanzania wamesha amka hofu inatawala .
 
Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.

Hivi unamkumbuka yule jamaa wa Zanzibar anaitwa Himid ? Mmemfanyaje ?
 
Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.
Kesho lazima aitwe na kuonywa kwa nini anakiaibisha chama, kama haamini amuulize Kigwangala na hoja yake ya kumkataa spika, kaufyata mpaka leo kimya
 
Leo ame ikoromea ccm kuwa ina uza viwanda kwa wa nunuzi wanao ua kusudi.Kiwanda cha baiskeli cha kwanza Tanzania kiliuzwa kwa mhindi aliye kifanya ghala la spea za baiskili toka India.Nahivyo kunusuru biashara ya kuingiza spea za baiskeli toka India.mbunge huyo toka Kagera ambaye mara zote husifu ccm leo amegeuka ghafla na kesema kwanini wame ruhusu sukari ya nje na hivyo kufanya kiwanda cha Kagera kupunguza wafanyakazi?Amesema ni sera ambayo hauikubaliki akiwaunga mkono wapinzani
ukisema uongo muda mrefu alafu ukapitiwa na kukumbuka kiapo imani inakurudia. Masikini ccm wote wanatamani waseme ukweli lakini...!
 
Isishosue sio Habari imeandikwa na nani,ila je ni kweli Mtei kasema hayo?Ilo ndilo swali la maaana ,Kwanza someni habari kwa undani muilewe ndio swala la Muandishi ni chama gani lifuatie.Bravo zittooooooo
 
Au ungesikia tu gari yake imepata ajali pale Mvumi na kufia hapo hapo huku dereva wake bwana Deus Mallya akitoka bila kovu.
Au wanakupa microphone ukiongea tu unaomba maji na kukata roho. RIP Kolimba
 
Ni kweli kaka nduka chama cha mjomba na shangazi wangefanya maamuzi magumu kama wenyewe wanavyoyaita.
Maamuzi magumu wakati wa kukaribia election ndani ya chama.Mwenyekiti anasema siachii kiti mpaka nione mtu anayefaa kweli kuna demokrasia hapo.
 
Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.
Kwani Asumpta ni kiongozi wa chama? Au umesahau akina Kafulila nao walifukuzwa lakini hakuna aliyejali; hujui sababu ilikuwa hawakuwa viongozi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom