Assumpter Aipinga CCM waziwazi

Assumpter Aipinga CCM waziwazi

Na kwa demokrasia iliyopo CCM, huyu hatoitwa msaliti, mhaini, masalia, au ametumwa na chama cha upinzani. Wala hutosikia katibu mkuu na mwenyekiti wa taifa wakipita mikoani kuelezea usaliti wake.

Kama wewe sio mnafiki mwenye hoja za kipumbavu basi tujibu yafuatayo, Vipi yule mbunge wa CCM Zanzibar aliyevuliwa uanachama na ubunge?!! Alitenda kosa gani?? Na Abdi Jumbe je hadi akawekwa kizuizini Kigamboni wakati alikuwa ni raisi wa Zanzibar??!!
 
Leo ame ikoromea ccm kuwa ina uza viwanda kwa wa nunuzi wanao ua kusudi.Kiwanda cha baiskeli cha kwanza Tanzania kiliuzwa kwa mhindi aliye kifanya ghala la spea za baiskili toka India.Nahivyo kunusuru biashara ya kuingiza spea za baiskeli toka India.mbunge huyo toka Kagera ambaye mara zote husifu ccm leo amegeuka ghafla na kesema kwanini wame ruhusu sukari ya nje na hivyo kufanya kiwanda cha Kagera kupunguza wafanyakazi?Amesema ni sera ambayo hauikubaliki akiwaunga mkono wapinzani
Hii ndiyo shida ya wabunge vilaza wa ccm!they never see the big picture.hii imesha tokea kila mahala hapa nchini.watu makini wameona na wamesema ila kwa vile hawa vilaza hawaelewi mpaka itokee kwenye maeneo yao ndio maana sasa anawaunga mkono wapinzani walio ona zamani athari za ubinafsishaji tumbo!welcome to the real world mshehemiwa.
 
muacheni aseme maana sukari inaagizwa toka nje lakini bei juu,si bora tukazalisha kwenye viwanda vyetu
 
Back
Top Bottom