Assume tunawaza kwa sauti

Hi hi hi! Ingekuwa kama anakata mbao ule mlio wa ungedumu muda mrefu ungekuwa burudai sana kwa wachuuzi wa samaki!
 
Nisingekuwa na haja ya kutongoza cuz ningejua kabla kama chick ananitaka au hanitaki!!
 
Duuuh!!!!
unatisha:biggrin1:
 
Ningeshaacha na wife siku nyingi manake navyowaziaga kwenda kwa wale wa mabarabarani wife ananitibua sijui tu pasingetosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…